Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
 
Si kweli Elimu ya makaratasi ndio inalemaza watu,

Mtu alioshia Form 6 na kijana wa Veta ukiwapeleka Field wa Form 6 anagaragazwa.

Wacha vijana wapewe Elimu za Vitendo mapema itawasaidia. Moja ya Sababu vijana wengi wanashindwa kujiajiri ni kwamba Vichwa vyao vimejaa theory tu.
 
Niambie unatumiaje complex numbers hapo ulipo. Hizo calculus wanasoma bana zile applicable hawaingii deep Kama ulivyozama advance.

Mifumo ya nchi nyingi duniani watt wanasoma miaka 11/12 baada ya hapo wanaingia chuoni.kama mtu anapenda analichokisoma atarudi masters degree and PhD zipo mkuu.

Nimepita Advance Tena iyo na pcm yako na nikaifaulu vizuri tu kwa daraja la kwanza Ila siikubali. Ni wastage of time, mpaka wakenya wanaiogopa advance hawana kwao na sijui tumewazidi Nini labda ufisadi na kuwaza kuongeza Kodi na tozo kwa wananchi wanyonge badala ya kuwaza vyanzo vya uchumi na uwekezaji tuzalishe ajira, na mapato kwa Taifa Ila uliko nako nawaza namna ya kukutoa. Muda si muda tozo ya maji itakuja Kama ya kwenye umeme.

Mana mie PhD yangu sikupewa nimesomea labda tuzungumze Mambo ya uganga. Ego at its Best level
 
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote....
Wakirekebisha mtaala vizuri kati ya Frm 3 na 4, huko 5 na 6 ni wastage of time sanasana kwenda kupata status ya Advanced tu, wanachokisoma Frm 5 na 6 wanaweza kuintegrate hukohuko chuoni
 
🤣 🤣 mambo makubwa yapi una analyse kwa kutumia differentiation ndugu mtoa mada ?
elimu ya form 5/6 ni ya kupoteza muda
mtu anatoka huko hana skill yoyote ile zaidi ya kukariri madesa yasiyosadifu na maisha halisi
Kabisa bora mtu apige certificate ya mwaka mmoja kuliko kupoteza muda Advance na mwisho wa siku anakuja kwenda diploma
 
Si kweli Elimu ya makaratasi ndio inalemaza watu,

Mtu alioshia Form 6 na kijana wa Veta ukiwapeleka Field wa Form 6 anagaragazwa.

Wacha vijana wapewe Elimu za Vitendo mapema itawasaidia. Moja ya Sababu vijana wengi wanashindwa kujiajiri ni kwamba Vichwa vyao vimejaa theory tu.
F6 hana ujuzi wowote anazidiwa na la saba ambaye aemeenda VETA miezi 4
 
Si kweli Elimu ya makaratasi ndio inalemaza watu,

Mtu alioshia Form 6 na kijana wa Veta ukiwapeleka Field wa Form 6 anagaragazwa.

Wacha vijana wapewe Elimu za Vitendo mapema itawasaidia. Moja ya Sababu vijana wengi wanashindwa kujiajiri ni kwamba Vichwa vyao vimejaa theory tu.
We naye acha kuchanganya madesa
Form VI na VETA wapi na wapi. Hizi ni kada tofauti kabisa. Form six andaaliwa katika nadharia na kufikiri mambo ambayo ni complex. Form anaandaliwa kuwa mtendaji yaani Fundi.
 
Back
Top Bottom