Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

Haya mambo ya usipoenda form6 hutofanya vizur mbele ni wa bongo tu wenye fikra hizi,wahindi na baadhi ya wabongo watoto wao wanaishia form 4 wengine wanaenda chuo moja kwa moja siokupoteza muda na wanafanya vizuri tu!!
 
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Inaonekana una hoja lakini huna uwezo mzuri wa kuelezea hoja yako. Kwani mtu anayekwenda kupata ujuzi anawaza ajira tu? Nijuavyo mimi ukimaliza form IV na ukaamua kwenda chuo, utapata ujuzi zaidi kulinganisha na atakayekwenda A level. Hebu niambie atakayemaliza A Level atakuwa na ujuzi gani zaidi ya kusubiri kwenda chuo kikuu?

Ni hivi, wanaoenda vyuo vya kati huenda kupata ujuzi, na wanaoenda vyuo vikuu huenda kupata maarifa. Uzuri ni kwamba ukipata ujuzi (vyuo vya kati) unaweza kwenda kupata maarifa (chuo kikuu) Lakini ni ngumu kutoka chuo kikuu kurudi chuo cha kati. Ndio maana unaona kazi nyingi huko field hufanywa na watu wenye ujuzi (vyuo vya kati), huku maboss ambao (vyuo vikuu) hugeuka kuwa maboss wa kuagiza tu huku wakiwa hawana ujuzi. Na kwa taarifa yako uzalishaji mwingi hufanywa na wenye ujuzi, kuliko maboss wanaokaa ofisini kusubiri kutoa maagizo tu.
 
N

Ngoja nikuulize kitu. Hivi mtu mpaka aende chuo kikuu si ama ana div one au two. Sasa ni kitu gani anaweza kujifiza haraka au kucatch up haraka ukilinganisha na Hawa vilaza wengi wanaomaliza form four na div four au three wanakimbilia vyuo? Mtu am aye ana div one licha ya kwenda chuo kikuu kupata maarifa lakini Yuko likely kuwa flexible in everything.
 
Unaijua syllabus ya Kenya ya form four?
Nimesoma vitabu vya sayansi vya Kenya nikiwa olevo nadhani na uk, Botswana. Ila Kama beliefs yako inataka advance namie ya kwangu haitaki inatakiwa energy ambayo kwa muda huu Sina. Ila shikilia yako namie nishikilie yangu bado life linaenda
 
N

Ngoja nikuulize kitu. Hivi mtu mpaka aende chuo kikuu si ama ana div one au two. Sasa ni kitu gani anaweza kujifiza haraka au kucatch up haraka ukilinganisha na Hawa vilaza wengi wanaomaliza form four na div four au three wanakimbilia vyuo? Mtu am aye ana div one licha ya kwenda chuo kikuu kupata maarifa lakini Yuko likely kuwa flexible in everything.
Huenda hujui usemalo. Unaweza kuwa na division one aka two na ukaenda vyuo vya kati, maana ni suala la uchaguzi. Siku za nyuma hivyo vyuo vya kati ilikuwa ni kwa waliokosa division 1 ama 2. Inshort hakuna Katazo la mtu wa divisheni 1 ama 2 kujiunga na chuo cha kati.

Na kwa kukusaidia tu, division 1 ama 2 sio ishara ya akili ya ajabu, bali ni kufanikiwa kufikia alama fulani siku ya mtihani wa mwisho. Kwa hii mitihani inayotoa matokeo yenye ghiliba za kisiasa, utakuwa unajidanganya kuona kuwa division 1 ama 2 ni kipimo cha akili.
 
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Huyu naye kakariri Huyu. Form X maana yake nini? Ukipata jibu ndiyo utajua mambo makubwa hayasomwi Form V na VI tu.
 
Kwanza hiyo 5&6 ingefutwa,mtu akimaliza O-level ni moja kwa moja Kuchukua Elimu ya juu!
Nchi nyingi ambazo zimeendelea miaka 17 watu wanaingia vyuoni. Huku kwetu mtu anamaliza Chuo libaba kabisa. Elimu yetu ndefu Sana na tu narudia mambo mengi, la 5 mpaka 7 vitu kibao vinafundishwa tena form 1 na 2, vitu vya advance hivyo hivyo unavikuta mwaka wa kwanza Chuo etc.
 
Huenda hujui usemalo. Unaweza kuwa na division one aka two na ukaenda vyuo vya kati, maana ni suala la uchaguzi. Siku za nyuma hivyo vyuo vya kati ilikuwa ni kwa waliokosa division 1 ama 2. Inshort hakuna Katazo la mtu wa divisheni 1 ama 2 kujiunga na chuo cha kati.

Na kwa kukusaidia tu, division 1 ama 2 sio ishara ya akili ya ajabu, bali ni kufanikiwa kufikia alama fulani siku ya mtihani wa mwisho. Kwa hii mitihani inayotoa matokeo yenye ghiliba za kisiasa, utakuwa unajidanganya kuona kuwa division 1 ama 2 ni kipimo cha akili.
Kuna dogo hapa Ana one kali kapangiwa chuo.
 
🤣 🤣 mambo makubwa yapi una analyse kwa kutumia differentiation ndugu mtoa mada ?
elimu ya form 5/6 ni ya kupoteza muda
mtu anatoka huko hana skill yoyote ile zaidi ya kukariri madesa yasiyosadifu na maisha halisi
Bora wewe una tizama uhalisia
 
A level ni kupote muda naunga mkono hoja, Kenya, Marekani na Uingereza hawana hivyo vitu mbona wametuacha sn? tuwekeze kwenye vyuo vya kati kwanza kabla ya kwenda university
Hata kama dunia nzima ingekuwa navyo, sisi tunaweza pia kuona namna nzuri ya kuwafanya watanzania wakapata elimu bora
 
We naye acha kuchanganya madesa
Form VI na VETA wapi na wapi. Hizi ni kada tofauti kabisa. Form six andaaliwa katika nadharia na kufikiri mambo ambayo ni complex. Form anaandaliwa kuwa mtendaji yaani Fundi.
Nchi kama Nchi tunahitaji Malaki ya watu kila mwaka wa Nadharia? Tunaishi ulimwengu wa Viwanda na Sayansi na Technology kila kona wakati vyuo vyetu vinazalisha Malaki ya watu ambao hawaji kuajiriwa, mwisho wa siku wanakuja kutembeza masufuria mtaani.

Hao wa Nadharia wabaki wachache tena wakaisomee huko vyuoni,

Masomo mengi ya Advance unasoma Chuo hayo hayo why upoteze miaka miwili?
 
Tukianza kukosoa hatuta fika
Degree ni degree tu haijarishi ni ya form six ama diploma
 
Acheni kupotosha A-level ni hatua muhimu kujiandaa kwa masomo ya degree na siyo rahisi kwa vilaza wengi.
Kilaza ni mtu wa aina gani? Muda ni Mali. Watu wasipoteze muda kusoma information ambazo zipo.
 
Binafsi wanangu hawataenda A level, ni kuwapotezea mda na resources zangu tu.

Hata hivyo vocational training institutes hazihitaji uwe na A level education, tunatakiwa tuandae vijana watendaji, sio wakaa kwenye madesk tu, hao degree holders wengi hawana creativity yoyote, wengi ni kukariri tu.
 
Huenda hujui usemalo. Unaweza kuwa na division one aka two na ukaenda vyuo vya kati, maana ni suala la uchaguzi. Siku za nyuma hivyo vyuo vya kati ilikuwa ni kwa waliokosa division 1 ama 2. Inshort hakuna Katazo la mtu wa divisheni 1 ama 2 kujiunga na chuo cha kati.

Na kwa kukusaidia tu, division 1 ama 2 sio ishara ya akili ya ajabu, bali ni kufanikiwa kufikia alama fulani siku ya mtihani wa mwisho. Kwa hii mitihani inayotoa matokeo yenye ghiliba za kisiasa, utakuwa unajidanganya kuona kuwa division 1 ama 2 ni kipimo cha akili.
Mkuu uko sahihi sana.Tuna kizazi kinachoamini kwenda Chuo cha kati ni kufeli. Mimi nimepita advance, sijui huko nilikua natafuta nini hahahahhah. Mwanangu Katu hata fuata ujinga wa Advance labda nife.
 
Wakirekebisha mtaala vizuri kati ya Frm 3 na 4, huko 5 na 6 ni wastage of time sanasana kwenda kupata status ya Advanced tu, wanachokisoma Frm 5 na 6 wanaweza kuintegrate hukohuko chuoni
Kabisaa yaani
 
Hii ni level ya watu wenye Cognitive ability ya juu. Wengi ya hawa watu ni great thinkers. Vyuo vya ufundi huaandaa mafundi. Watu wa vitendo zaidi kuliko thinking.
Sasa nchi hii wangapi wana cognitive ability mkuu, yaani idadi ya wanaoenda A level ni kubwa kuliko mahitaji ya nchi, kuliko uwezo wa wafaulu, kuliko mahitaji ya soko. Engineers wengi kwa mfano wapo tu kama technicians..yaani hawana tofauti kiutendaji, which isn't right.
 
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
We jamaa,Hauna taarifa,nilisoma form 4,nikaenda DIT,nikapiga ftc,kwenye namba,tumesoma engineering mathematics,hizo intergrstion nk,ni mchezo wa kitoto,
Usibski kuwaza kwamba kama haujasoma kilimo Cha mahindi tenassey au vita ya majimsji,basi Hauna elimu,.
Mi nataka kuwa software engineer au carpenter,niambie masomo kama history,geography yananisaidia Nini,elimu ikizi mahitaji,miaka ya 80 kulikuwa Kuna somo la siasa,Miaka ya 90,Pepa ya darasa la Saba ilikuwa siku Moja TU,unataka turudi huko?elimu inabadirika kutokana na mahitaji,acha kukalili
 
Mkuu uko sahihi sana.Tuna kizazi kinachoamini kwenda Chuo cha kati ni kufeli. Mimi nimepita advance, sijui huko nilikua natafuta nini hahahahhah. Mwanangu Katu hata fuata ujinga wa Advance labda nife.
Ukifaulu inasave mda
 
Back
Top Bottom