Sasa nchi hii wangapi wana cognitive ability mkuu, yaani idadi ya wanaoenda A level ni kubwa kuliko mahitaji ya nchi, kuliko uwezo wa wafaulu, kuliko mahitaji ya soko. Engineers wengi kwa mfano wapo tu kama technicians..yaani hawana tofauti kiutendaji, which isn't right.
Sasa hao wenye cognitive ability,wamefsnya Nini?
Je watu kama msukuma,diamond,wapo humo,au la maana wame fanikiwa sana,bila ya kupitia huko kwenye cognitive ability,
Weka kitu kimoja alichofanya huyo mwenye cognitive behaviour,
Je wale madokta pale Benjamin udom,waliofanya upandikazji wa uume wapo kundi Hilo?je Dr Ben Carson bingwa wa kutengsnisha joined twins,yupo humo?yeye hakusoma hiyo six Yako.
Wachina wanotujengea na madaraja wapo humo?
Wanaopigia chapuo six,ni sawa na vijana wa bongo,kipato chake chini ya 1Moja,lakini anadunduliza kununua macho matatu,sio kwamba anataka simu imfanyie Nini!Bali watu wamuone na yeye yumo,apps anwzotumia ni za kuangalia vikatuni na video insta.
Kenya,hawana six,lakini katika AFRIKA,they are the most well educated people,wanakimbiza balaa.
Pale DIT,mkiwa diploma,na vijana waliotoka six,wanachowazidi ni hesabu TU,wakati huo,tunapiga ADE,six walikuwa hawawezi kujoin ADE kusoma kozi zaidi ya telekom,Kuna Mmoja,alikomaa asome ADE na waliotoka ftc,aliomba Po!!!!