Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Wewe ndo umeaza kuwa kilaza kabla ya mwaka 2033
 
Kwa nini msifanane? Kama wewe ni kilaza ni kilaza tuu Wala usisingizie vidato..

Mbona Mimi nawqazisi wengi sana wenye Masters kwenye IQ na EQ?
 
Mkuu kumbuka miak ijayo itakuw no school ni AI Mtoto anazaliw unaend mnunulia akili
 
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.

Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.

Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.

Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Kama we unataka a level ukasome, diploma wanasoma math pia ya a level mpaka pure at times, so usiseme vitu ambavyo huvijui
 
Hawawezi jua, mziki wa shule upo A-level chuo ni kwenda kutalii.
Yaani hakuna kulala hasa kwa shule za serikali. Mimi sikusomaga kabisa tuition. Shukrani kwa mwanangu mmoja alinifundisha karibu kila kitu. Bila yeye ningepiga sifuri.
 
[emoji1787] [emoji1787] mambo makubwa yapi una analyse kwa kutumia differentiation ndugu mtoa mada?

Elimu ya form 5/6 ni ya kupoteza muda mtu anatoka huko hana skill yoyote ile zaidi ya kukariri madesa yasiyosadifu na maisha halisi
Sio kweli mkuu! A level inamuandaa mwanafunzi katika kiwango cha kusoma shahada (degree). Huwezo na upeo wa ufahamu wa Form six ni mkubwa kuliko wa Form four! Hata hivyo kama ilivyokawaida kwamba hiyo qualification umeipata kwa kusoma mwenyewe au kukariri na kuiba matokeo? Kama umepata fursa ya kuenda A level nakushauri nenda! Kama ukupata credit za kwenda A level basi nenda vyuoni lakini ujue uko inferior kwa qualified form six!
 
Nakuunga mkono. Vipanga waende form five hakuna namna. Halafu kwa kijana mwenye ndoto kubwa za kutoka nje ya Tanzania basi form six ndo njia sahihi kwasababu inatambulika nje ya nchi kirahisi.. vijana wengi waliofanya vizuri form six PCM na kombi zingine za sayansi huwa wanapata scholarship kirahisi kuliko walioenda hivi vyuo vya NACTE & VETA. Kitu ambacho watu wanakwepa kusema ni kuwa wanakosa sifa za kujiunga advance na pia muziki wa advanve unatisha mno hasa sayansi.
 
mkuu kunakoz zingine hazina diploma makoz makubwa kama actuarial sciences, petroleum engineering, zinahitaji watu wenye uwezo mkubwa na maanisha waliopita advance

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekupata, lakini vipi kwa course nyingine kama law ambazo ili mtu awe compitent inabidi akifanye hicho kitu mara kwa mara.
 
Asilimia kubwa ya watoto, vijana sahv wanataka wawe wakata mauno tu

Ova
 
Serikali nayo ni ya kulaumiwa kwa kupunguza ubora wa elimu. Hizi division one watoto wanazopiga kumbe hakuna penalty ya Basic Mathematics. Mtoto ana division one kali ila Hesabu kafeli ana F. Inabidi NECTA na wizara ya elimu wajichunguze.
 
Back
Top Bottom