Kwani shule ngumu ndiyo mafanikio?? Niletee Profesa wa physics na hesabu mwenye mafanikioNi DIT ipi hiyo ambayo hawasomi Differentiation, Integration na Complex numbers? Usiongee usichokijua na katiika Engineering hakuna shule ngumu kama ya DIT, uliza wote waliopita huko wakienda Universities ni kuteleza tu.