thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Mwenyewe mtoto wangu hatasoma huo ujinga labda nisiwe hai ataenda chuo baada ya F4 nimpike haswa badala ya kupoteza muda kwenda kukariri ujinga
Mkitofautiana mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe mtoto wangu hatasoma huo ujinga labda nisiwe hai ataenda chuo baada ya F4 nimpike haswa badala ya kupoteza muda kwenda kukariri ujinga
Vipi kuhusu biolojia na kemia ya advanced level haina umuhimu wa vijana wetu kusoma wakiwa advanced level?Niambie unatumiaje complex numbers hapo ulipo. Hizo calculus wanasoma bana zile applicable hawaingii deep Kama ulivyozama advance...
Hii ni level ya watu wenye Cognitive ability ya juu. Wengi ya hawa watu ni great thinkers. Vyuo vya ufundi huaandaa mafundi. Watu wa vitendo zaidi kuliko thinking.Acheni kupotosha A-level ni hatua muhimu kujiandaa kwa masomo ya degree na siyo rahisi kwa vilaza wengi.
Kwanza hiyo 5&6 ingefutwa,mtu akimaliza O-level ni moja kwa moja Kuchukua Elimu ya juu!Si kweli Elimu ya makaratasi ndio inalemaza watu,
Mtu alioshia Form 6 na kijana wa Veta ukiwapeleka Field wa Form 6 anagaragazwa.
Wacha vijana wapewe Elimu za Vitendo mapema itawasaidia. Moja ya Sababu vijana wengi wanashindwa kujiajiri ni kwamba Vichwa vyao vimejaa theory tu.
Kwa hiyo wewe una akili kuliko kiliko curriculum developer waliotengeneza mtaala wa Advance level.Mkitofautiana mkuu?
Form 5 na 6 hazina faida yoyote.
Huko vyuoni wanapelekwa puta na walionzia vyuo.
Mtu kaanza certificate na kitu hicho, kana nacho diploma chuo anaserereka nacho . Huyu akiingia kazini ni innovator mzuri tu.
Sasa wewe o'level umesoma masomo 9, advance ukasoma HKL, kwakua una msingi mzuri wa hesabu, chuo ukasoma Banking & finance. Utakua sawa na alieanzia certificate kusomea hiyo banking & finance kweli???
Unaijua syllabus ya Kenya ya form four?Niambie unatumiaje complex numbers hapo ulipo. Hizo calculus wanasoma bana zile applicable hawaingii deep Kama ulivyozama advance...
Kwa hiyo wewe una akili kuliko kiliko curriculum developer waliotengeneza mtaala wa Advance level.
Hoja hapa siyo mtu anakaa secondary miaka mingapi, hoja ni content anayosoma. Content ya Form IV ya Kenya siyo sawa na ya Tz. Hivyo Tz kuwa na advance level ni mfumo sahihi tu.Unaijua syllabus ya Kenya ya form four??
Mkuu hujui ubaloongea, kenya kuna watu wana akili na wanafanya mambo makubwa kuliko tz ila hawasomi f5 and 6Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.
Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Okay, I'm very sorrysorry ndugu nahisi utakuwa ume quote wrong person.
Unaijua content kwenye hiyo syllabus ya kenya au unapiga domo tu hapa.Mkuu hujui ubaloongea, kenya kuna watu wana akili na wanafanya mambo makubwa kuliko tz ila hawasomi f5 and 6
Hii ni sawa.Hoja hapa siyo mtu anakaa secondary miaka mingapi, hoja ni content anayosoma. Content ya Form IV ya Kenya siyo sawa na ya Tz. Hivyo Tz kuwa na advance level ni mfumo sahihi tu.
et tutakua vilaza jaman