Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ukweli mchungu Waliopita A level wengi wameishia kuwa walimu fani ambayo wengi hawaipendiVilaza wa o level wamejazana humu wanatiana ujinga😅😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mchungu Waliopita A level wengi wameishia kuwa walimu fani ambayo wengi hawaipendiVilaza wa o level wamejazana humu wanatiana ujinga😅😅😅😅
Badala ya kutoa maoni yako, umekazania kujifagilia: mara nimepiga one form six, mara PhD yangu si ya kupewa.....Niambie unatumiaje complex numbers hapo ulipo. Hizo calculus wanasoma bana zile applicable hawaingii deep Kama ulivyozama advance.
Mifumo ya nchi nyingi duniani watt wanasoma miaka 11/12 baada ya hapo wanaingia chuoni.kama mtu anapenda analichokisoma atarudi masters degree and PhD zipo mkuu.
Nimepita Advance Tena iyo na pcm yako na nikaifaulu vizuri tu kwa daraja la kwanza Ila siikubali. Ni wastage of time, mpaka wakenya wanaiogopa advance hawana kwao na sijui tumewazidi Nini labda ufisadi na kuwaza kuongeza Kodi na tozo kwa wananchi wanyonge badala ya kuwaza vyanzo vya uchumi na uwekezaji tuzalishe ajira, na mapato kwa Taifa Ila uliko nako nawaza namna ya kukutoa. Muda si muda tozo ya maji itakuja Kama ya kwenye umeme.
Mana mie PhD yangu sikupewa nimesomea labda tuzungumze Mambo ya uganga. Ego at its Best level
Uzi umejaa magwine. Haaaaaaaa, haaaaaaaaaaNaona uzi umejaa vilaza wa form four failure.
Wewe utakuwa ni Form four. Analytical ability yako inaoonesha hivyo.Sasa hao wenye cognitive ability,wamefsnya Nini?
Je watu kama msukuma,diamond,wapo humo,au la maana wame fanikiwa sana,bila ya kupitia huko kwenye cognitive ability,
Weka kitu kimoja alichofanya huyo mwenye cognitive behaviour,
Je wale madokta pale Benjamin udom,waliofanya upandikazji wa uume wapo kundi Hilo?je Dr Ben Carson bingwa wa kutengsnisha joined twins,yupo humo?yeye hakusoma hiyo six Yako.
Wachina wanotujengea na madaraja wapo humo?
Wanaopigia chapuo six,ni sawa na vijana wa bongo,kipato chake chini ya 1Moja,lakini anadunduliza kununua macho matatu,sio kwamba anataka simu imfanyie Nini!Bali watu wamuone na yeye yumo,apps anwzotumia ni za kuangalia vikatuni na video insta.
Kenya,hawana six,lakini katika AFRIKA,they are the most well educated people,wanakimbiza balaa.
Pale DIT,mkiwa diploma,na vijana waliotoka six,wanachowazidi ni hesabu TU,wakati huo,tunapiga ADE,six walikuwa hawawezi kujoin ADE kusoma kozi zaidi ya telekom,Kuna Mmoja,alikomaa asome ADE na waliotoka ftc,aliomba Po!!!!
Sahihi kabisaA level ni kupote muda naunga mkono hoja, Kenya, Marekani na Uingereza hawana hivyo vitu mbona wametuacha sn? tuwekeze kwenye vyuo vya kati kwanza kabla ya kwenda university
Baadhi ya wabongo akili zetu huwa ni ndogo sana..We naye acha kuchanganya madesa
Form VI na VETA wapi na wapi. Hizi ni kada tofauti kabisa. Form six andaaliwa katika nadharia na kufikiri mambo ambayo ni complex. Form anaandaliwa kuwa mtendaji yaani Fundi.
Ukweli mtupu,Haya yote inategemea pia chuo unaenda kusoma nini,
course niliyosoma requirements advanced math and physics lazima, ukisoma hizo diploma sijui vigezo vyao hata sikumbuki, ila inshort hakuna mtu wa namna hiyo tulisoma naye.
Haya mambo ya kukalilishana eti kwenye field wapo vizuri ni umburula tu...wengi ni vilaza kama wengine na hata Kwenye Miradi sijawai kuona wakiongoza zaidi ya kuwa assistant..
Umesoma sayansi?Form 5 na 6 hazina faida yoyote.
Huko vyuoni wanapelekwa puta na walionzia vyuo.
Mtu kaanza certificate na kitu hicho, kana nacho diploma chuo anaserereka nacho . Huyu akiingia kazini ni innovator mzuri tu.
Sasa wewe o'level umesoma masomo 9, advance ukasoma HKL, kwakua una msingi mzuri wa hesabu, chuo ukasoma Banking & finance. Utakua sawa na alieanzia certificate kusomea hiyo banking & finance kweli???
Kenya vijana wanaenda kusoma degree wakiwa na miaka mingapi?..15 sio??Mkuu hujui ubaloongea, kenya kuna watu wana akili na wanafanya mambo makubwa kuliko tz ila hawasomi f5 and 6
Mambo complex yapi?may be kuwaza kuwa bank teller na kujiunga na jeshi,We naye acha kuchanganya madesa
Form VI na VETA wapi na wapi. Hizi ni kada tofauti kabisa. Form six andaaliwa katika nadharia na kufikiri mambo ambayo ni complex. Form anaandaliwa kuwa mtendaji yaani Fundi.
Asilimia kubwa wanaoenda vyuo vya kati ni waliokosa alama nzuri za kwenda kusoma kozi nzuri chuo kikuu au advance..Mkuu uko sahihi sana.Tuna kizazi kinachoamini kwenda Chuo cha kati ni kufeli. Mimi nimepita advance, sijui huko nilikua natafuta nini hahahahhah. Mwanangu Katu hata fuata ujinga wa Advance labda nife.
A level ni kupote muda naunga mkono hoja, Kenya, Marekani na Uingereza hawana hivyo vitu mbona wametuacha sn? tuwekeze kwenye vyuo vya kati kwanza kabla ya kwenda university
It's normal or it's nature of the mind to find negatives,flaws, mistakes, errors,Wala sijajifagilia sema nimeonyesha kuwa siikubali advance even though nimepita na nimepata one both olevo and a level . Najua utapata maumivu ya envy.yaani huwa nafurahi mind inavyofanya kazi.Badala ya kutoa maoni yako, umekazania kujifagilia: mara nimepiga one form six, mara PhD yangu si ya kupewa.....
It's normal or it's nature of the mind to find negatives,flaws, mistakes, errors,Wala sijajifagilia sema nimeonyesha kuwa siikubali advance even though nimepita na nimepata one both olevo and a level . Najua utapata maumivu ya envy.yaani huwa nafurahi mind inavyofanya kazi.
Baadaye utaniambia kuwa Nina bilioni ngapi. Nipo sinaa hata Mia ridhika ama poozea maumivu mkuu.
Hao wanaioshia Form four tunawaandaa kuwa watendaji zaidi kitu ambacho siyo kibaya. Hawa wanaoenda chuo kikuu kupitia A level tunawaandaa katika Managerial position. Tunahitaji watendaji wengi zaidi kuliko managers.