Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli 2034 nchi itakua na vilaza wote ila wewe umetoroka huko 2034 umekuja 2023 kama muwakilishi wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli 2034 nchi itakua na vilaza wote ila wewe umetoroka huko 2034 umekuja 2023 kama muwakilishi wao
Mkiwa mnazungumza humu kama vile rahisi. Hebu tembeleeni vyuoni muone wanenu walivyo empty, kutofautisha waliopita waliopita A level wenye div I zao kali za A level na O level na waliopita diploma na div IV zao kiuwezo ni ngumu sana, vyote uwezo kiduchu sana yaani. Hadi mtu unajiuliza kuna nini huko wanakopitia!Acheni kupotosha A-level ni hatua muhimu kujiandaa kwa masomo ya degree na siyo rahisi kwa vilaza wengi.
Wanaotuongoza hawana AKILI unategemea nn ndugu yangu hata ukichunguza vyeti vyao wengi ni wamepenya penye tu,Elimu ya kuunga unga tu vilaza watupu waliojaa chenga tu.Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.
Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Waliopitia diploma wengi wao wa kawaida hata chuo kikuuMkiwa mnazungumza humu kama vile rahisi. Hebu tembeleeni vyuoni muone wanenu walivyo empty, kutofautisha waliopita waliopita A level wenye div I zao kali za A level na O level na waliopita diploma na div IV zao kiuwezo ni ngumu sana, vyote uwezo kiduchu sana yaani. Hadi mtu unajiuliza kuna nini huko wanakopitia!
Kwenye presentation utasikia "you will going"! Na huyo ni mwamba wa language darasani, aliyepiga hgl!
😅😅😅 peleka hizo D zako 3 uone kama utapata chuo.Acha kamba wewe..mtu ana one ya 7 aende diploma??..si atakuwa amelogwa..
As long as D3 za kidato cha nne ndo minimum requirement,inatosha kusema diploma wanaenda watu ambao ufaulu wao upo chini sana kwa asilimia kubwa..
Tupo nao wengi tuu huku mtaani hivi sasa wanafanya application NACTE. Twambie means tutakayo tumia kukuonesha hao watu nianze kukuletea mmoja baada ya mwingine.Nyie Vilaza nionyesheni Aliyepata 1.7(one ya Saba) o level Nchi hii na ameenda vyuo vya Kati (college)
Hawa wa sasa bora hata msiwapime wala kuwashindanisha, yaani ni aibu tupu.Waliopitia diploma wengi wao wa kawaida hata chuo kikuu
Wanafunzi bora vyuo vikuu wengi wao wamepitia A level ni nadra sana kukuta amepitia diploma
Hiyo mitoto unayosemea ni pamoja na wewe kumbuka wewe ni mtanzania na ulipitia stage ya utotoHawa wa sasa bora hata msiwapime wala kuwashindanisha, yaani ni aibu tupu.
Wote wanategemea AI, anayejitahidi kujisomea basi nikukariri tu mwanzo mwisho. Swali likitiwa msamiati kidogo tu ni OP ya darasa zima, hakuna cha diploma wala advance.
Huku mnalishana theories tu, uhalisia ni aibu tupu, sijui hizo division one za siku hizi zipoje huko NACTE.
Kuna Dr mmoja wa sheria siku moja darasani analalama "mitoto ya siku hizi inazidi kuwa empty kadri miaka inavyoenda, mwakani tunatarajia kupokea vilaza zaidi yenu, na watakaofuatia itakuwa zaidi, trend itaendelea hivyo, hatuelewi mnaandaliwaje huko mtokako".
Halafu mitoto ikiambiwa uwezo mdogo na imepiga one huko ilikotoka inachukia balaa!
Jibu[emoji116][emoji116][emoji116]Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.
Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Nasema 1.7 na sio 3.27😅Tupo nao wengi tuu huku mtaani hivi sasa wanafanya application NACTE. Twambie means tutakayo tumia kukuonesha hao watu nianze kukuletea mmoja baada ya mwingine.
Tena wa kwangu nitawashawishi kwa nguvu zote wakimaliza form 4 niwapeleke courses za kusimamia biashara, nitapambana niwawekee msingi wa biashara wao waje waziendeleze! A level ya nyoko🤣🤣🤣! Total wastage of time and resourcesMwenyewe mtoto wangu hatasoma huo ujinga labda nisiwe hai ataenda chuo baada ya F4 nimpike haswa badala ya kupoteza muda kwenda kukariri ujinga
Ivi mtu anayeenda kusomea IT au Uhasibu A level ya nn kwake?Acheni kupotosha A-level ni hatua muhimu kujiandaa kwa masomo ya degree na siyo rahisi kwa vilaza wengi.
Hata Russia na China hawana,wanasoma madarasa 11 wanazama chuoni bana. Labda muda mwingi uwe chuoni Mana huko ndiko wanakotengenezwa watalaamu kabisaA level ni kupote muda naunga mkono hoja, Kenya, Marekani na Uingereza hawana hivyo vitu mbona wametuacha sn? tuwekeze kwenye vyuo vya kati kwanza kabla ya kwenda university
Upo Kama mie.nakushauri wakomalie wajue investment mkuu. Wawe na uwezo wa kufanya evaluation kuwekeza nmb,crdb ama twiga cement. Ni wapi waweke pesa zao.Tena wa kwangu nitawashawishi kwa nguvu zote wakimaliza form 4 niwapeleke courses za kusimamia biashara, nitapambana niwawekee msingi wa biashara wao waje waziendeleze! A level ya nyoko🤣🤣🤣! Total wastage of time and resources
Huyu naye yupo nyuma sana vyuo vya afya hasa udaktari wanachukua wenye div 1 na 11😅😅😅 peleka hizo D zako 3 uone kama utapata chuo.
Ni DIT ipi hiyo ambayo hawasomi Differentiation, Integration na Complex numbers? Usiongee usichokijua na katiika Engineering hakuna shule ngumu kama ya DIT, uliza wote waliopita huko wakienda Universities ni kuteleza tu.Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.
Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Kwani akitoka form four anaingia degree??Umesoma sayansi?
Unaijua Organic chemistry ya o level na advance?..unajua mtu akienda kusoma mfano B.Pharm organic chemistry yake inakuaje?..unahisi dogo wa form four ubongo wake upo tayari kuelewa hayo mambo bila kupita advance?..
Advance iko overrated na watu kama nyie hizo intergration sijui differentiation sio za kuogopa eti mtu atashindwa kwasbabau hiyo.Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.