Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

Ni DIT ipi hiyo ambayo hawasomi Differentiation, Integration na Complex numbers? Usiongee usichokijua na katiika Engineering hakuna shule ngumu kama ya DIT, uliza wote waliopita huko wakienda Universities ni kuteleza tu.
Kwani shule ngumu ndiyo mafanikio?? Niletee Profesa wa physics na hesabu mwenye mafanikio
 
Kwahiyo kwenda A level ndio kipimo cha akili na uwezo wa reasoning? Acheni ujinga wa comparison za kipuuzi!
 
Kuna vyuo havina hata wanafunzi..kwanini wakatae hizo d3 wakati ndo minimum requirement?..

Halafu sikia wewe kilaza...mimi nimepita advance na nikatoboa nikaenda medical school..usinichukulie poa
Ulitoboa au ulitobolewa wewe pimbi ?
Ninyi ndio vilaza wa DD halafu mnaenda kudunga watu sindano ,vichwa maji wakubwa ,pumbav
 
wakuu kwani mtoto akienda chuo chakati miaka 3 uinjinia akimaliza hio miaka anaajiriwa au kuna Levi nyingine?
Pumbav , huo upumbavu wa foundation ulishafutwa haupo .
Kaeni na ukilaza wenu huo wa dd
 
Toa uzezeta wako hapa Hamna mtu aliyefaulu kwa division one ya 7 kaenda kwenye vyuo vya vilaza huko veta na diploma ,huko ni kwa vilaza waliofeli shule aka fa fafafafa
Ok. Sina namna naweza kukueleza ukaelewa. Sasa Hebu uje ufanye research.

NACTE wakishatoa selection, anza kufatilia matokeo ya form4 ya wanafunzi waliochagulia kwa direct entry hasa kwenye vyuo vya selikali uone 1.7 zilivyojazana huko.
 
Binafsi sina tatizo na A-level na ningependa vijana vipanga waendelee kupita huko, ila naona kwa dunia ilivyo kwa sasa bora watu wapate skills zitakazosaidia mtaani. Vyuo vya kati viboreshwe tupate watendaji wengi. Haiwezekani cherehani inayotumika Tanzania ndo inayotumika India na China lakini products zinakuwa tofauti. Shati lililoshonwa na mbongo lina lina thamani ya chini kulinganisha na la mhindi au mpakistan. Wanachotuzidi ni skills. Hata kwenye useremala hali iko hivyohivyo. Meza ya mchina inaonekana ina thamani kutokana na majamaa kuwa na uwezo mkubwa wa kiufundi vichwani.

Nina uhakika vyuo vya kati vikitoa vijana wengi wenye ujuzi tutaweza ku-export nguvukazi kwenye nchi zinazotuzunguka kuanzia mafundi cherehani, waashi, seremala, magari nk. Pale Dubai mafundi cherehani karibu wote ni kutoka Pakistan na India. Hata kazi zingine nyingi utakuta wahindi wapo. Serikali ipo sahihi 100% kwenye hili.

Bora umpeleke VETA kijana wako kuliko aende A-level akasome historia ya waherero na wajerumani kwa miaka miwili. Nina vijana wengi waliomaliza vyuo vikuu lakini kwa sasa wako tayari hata kujiunga na certificate ya nursing.
 
Kuishia form 4 ni sawa kbsa ila yaliyopo six na five yarudi kwenye hivyo vidato vya olevel, hatuwez pata dr kwa elimu ya olevel tu.
 
katika level za elimu elim kubwa nilipata advance vyuoni hamna elim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kunakoz zingine hazina diploma makoz makubwa kama actuarial sciences, petroleum engineering, zinahitaji watu wenye uwezo mkubwa na maanisha waliopita advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kunakoz zingine hazina diploma makoz makubwa kama actuarial sciences, petroleum engineering, zinahitaji watu wenye uwezo mkubwa na maanisha waliopita advance

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu. kwamfano mtoto endapo kasomea udokta au uinjinia moja kwa mojaa chuo cha kati na alie pitia 5&6 na akaenda kusomea pia udokta au uinjinia wanatofautiana mkuu au nisawa tuu? nakweye ajira pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…