Wewe ndo umeaza kuwa kilaza kabla ya mwaka 2033Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.
Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Kwa nini msifanane? Kama wewe ni kilaza ni kilaza tuu Wala usisingizie vidato..Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.
Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
A level Haina chochote Cha maanaAcheni kupotosha A-level ni hatua muhimu kujiandaa kwa masomo ya degree na siyo rahisi kwa vilaza wengi.
Ila muziki wa advance hasa PCM na PCB ni mnene sana. Watu wanaongea ongea ila ule muziki sio poa.mkuu kunakoz zingine hazina diploma makoz makubwa kama actuarial sciences, petroleum engineering, zinahitaji watu wenye uwezo mkubwa na maanisha waliopita advance
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisoma kombi gani A-level?A level Haina chochote Cha maana
Kama we unataka a level ukasome, diploma wanasoma math pia ya a level mpaka pure at times, so usiseme vitu ambavyo huvijuiKwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano huwezi sema eti unafanana na na mtu aliyesoma PCM akaenda kusoma electronics na wewe uliyesoma form four tu ukaenda kusoma DIT electronics haiwezekani.
Kwanza form four hasomi differentiation, integration Wala complex namba. Sasa huo huo uwezo wa kuanalyse mambo makubwa anautoa wapi?
Kombi inayofanya niwe nafikiria EGMUlisoma kombi gani A-level?
Hawawezi jua, mziki wa shule upo A-level chuo ni kwenda kutalii.Ila muziki wa advance hasa PCM na PCB ni mnene sana. Watu wanaongea ongea ila ule muziki sio poa.
Kama hukupita A-level hasa PCM na PCB huna tofauti na vilaza wengine, pale ndo penye mziki wa shule, chuo ni kwenda kufanya utalii tu na kuuza sura.A level Haina chochote Cha maana
Yaani hakuna kulala hasa kwa shule za serikali. Mimi sikusomaga kabisa tuition. Shukrani kwa mwanangu mmoja alinifundisha karibu kila kitu. Bila yeye ningepiga sifuri.Hawawezi jua, mziki wa shule upo A-level chuo ni kwenda kutalii.
Kutaga yai ni nje nje yaani.Yaani hakuna kulala hasa kwa shule za serikali. Mimi sikusomaga kabisa tuition. Shukrani kwa mwanangu mmoja alinifundisha karibu kila kitu. Bila yeye ningepiga sifuri.
Sio kweli mkuu! A level inamuandaa mwanafunzi katika kiwango cha kusoma shahada (degree). Huwezo na upeo wa ufahamu wa Form six ni mkubwa kuliko wa Form four! Hata hivyo kama ilivyokawaida kwamba hiyo qualification umeipata kwa kusoma mwenyewe au kukariri na kuiba matokeo? Kama umepata fursa ya kuenda A level nakushauri nenda! Kama ukupata credit za kwenda A level basi nenda vyuoni lakini ujue uko inferior kwa qualified form six![emoji1787] [emoji1787] mambo makubwa yapi una analyse kwa kutumia differentiation ndugu mtoa mada?
Elimu ya form 5/6 ni ya kupoteza muda mtu anatoka huko hana skill yoyote ile zaidi ya kukariri madesa yasiyosadifu na maisha halisi
Nakuunga mkono. Vipanga waende form five hakuna namna. Halafu kwa kijana mwenye ndoto kubwa za kutoka nje ya Tanzania basi form six ndo njia sahihi kwasababu inatambulika nje ya nchi kirahisi.. vijana wengi waliofanya vizuri form six PCM na kombi zingine za sayansi huwa wanapata scholarship kirahisi kuliko walioenda hivi vyuo vya NACTE & VETA. Kitu ambacho watu wanakwepa kusema ni kuwa wanakosa sifa za kujiunga advance na pia muziki wa advanve unatisha mno hasa sayansi.Sio kweli mkuu! A level inamuandaa mwanafunzi katika kiwango cha kusoma shahada (degree). Huwezo na upeo wa ufahamu wa Form six ni mkubwa kuliko wa Form four! Hata hivyo kama ilivyokawaida kwamba hiyo qualification umeipata kwa kusoma mwenyewe au kukariri na kuiba matokeo? Kama umepata fursa ya kuenda A level nakushauri nenda! Kama ukupata credit za kwenda A level basi nenda vyuoni lakini ujue uko inferior kwa qualified form six!
Ni kweli. Watu wanapiga One form four ila six YAI.Kutaga yai ni nje nje yaani.
Hapo nimekupata, lakini vipi kwa course nyingine kama law ambazo ili mtu awe compitent inabidi akifanye hicho kitu mara kwa mara.mkuu kunakoz zingine hazina diploma makoz makubwa kama actuarial sciences, petroleum engineering, zinahitaji watu wenye uwezo mkubwa na maanisha waliopita advance
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali nayo ni ya kulaumiwa kwa kupunguza ubora wa elimu. Hizi division one watoto wanazopiga kumbe hakuna penalty ya Basic Mathematics. Mtoto ana division one kali ila Hesabu kafeli ana F. Inabidi NECTA na wizara ya elimu wajichunguze.Asilimia kubwa ya watoto, vijana sahv wanataka wawe wakata mauno tu
Ova