Huenda Kuna watu wanapanga kumwangusha Rais Samia na CCM yake kwani baada ya nauli kupanda kwa 43% sasa gharama za kumwona daktari zapanda kwa 400%

Basi maadui wa Samia watakuwa ni wenye nguvu sana, hadi wameamsha vita ya Russia na Ukraine na kufanya bei ya mafuta ipande.

Ova
 
Nadhani itarekebishwa hata hivyo
 
Kwa kusema kuna watu wanataka kumuangusha si dhani na kero hizi za gharama za maisha hivi unadhani Raisi wetu hajazisikia…! kwenye maji kuna shida umeme shida yani leo ukilala na umeme basi ujue kesho unalala giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…