Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Jamaa mtukanaji sana huyokumbe kuna wakati ana comment ki kike, basi sawa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mtukanaji sana huyokumbe kuna wakati ana comment ki kike, basi sawa!!!
amekuwa now hana tena matusi!!Jamaa mtukanaji sana huyo
Inapendeza sanaamekuwa now hana tena matusi!!
Hajavunja mkataba ila amenunua mkataba wake 😀😀
Hakuna cha fifa wala mdogo wake na fifa, iwapo fei akirudi yanga basi atakuwa amerudi kwa shinikizo kutoka kwa watu wenye nguvu ndani ya nchi hii ambao ni mashabiki wa yanga na wala sio kisheria.Siyo mambo ya siasa mkuu, ni jambo la kisheria tu, Azam siyo wajinga kutomtangaza toka last week, wameona grounds za kisheria zipo against wao na mchezaji. Mchezaji kuondoka kwa kununua mkataba ni very complicated ,ingekuwa rahisi kihivyo wachezaji wangekuwa wananunua mikataba yao kila siku. Nashangaa watu wanasema mkataba wa Feisal unamruhusu kulipa Sh. 112 milioni na kuondoka, ni mkataba upi huo, kile kipage kimoja kinachosambaa mtandaoni ndiyo mkataba? Wakubwa walicho mwambia Feisal na mama yake ni kutulia ili kijana asije akapata matatizo ya kufungiwa na FIFA wakati yeye ndiyo sura nzuri ya soka la Zanzibar.
Hivo vipengele vya mkataba wa Feisal ni vipi vilivyomfanya awe sahihi?Hakuna cha fifa wala mdogo wake na fifa, iwapo fei akirudi yanga basi atakuwa amerudi kwa shinikizo kutoka kwa watu wenye nguvu ndani ya nchi hii ambao ni mashabiki wa yanga na wala sio kisheria.
Kisheria Fei yuko sawa na vipengere vya mkataba wake na yanga vinampa uhalali wote wa kufanya alicho kifanya.
Mbona Morrison alifanya alicho kifanya Fei na hakuna mlilo mfanya mkaishia kubwabwaja tu?
Sheria nyingi za fifa huwa zinampa kipaumbele na kumlinda mchezaji na maslahi yake kwa namna yeyote.
Fei toto akiamuwa kuondoka Yanga ataondoka na hamta mfanya chochote na mkithubutu kwenda fifa atawagaragaza vibaya hamtaamini.
Uko sahihi kabisa.Hakuna cha fifa wala mdogo wake na fifa, iwapo fei akirudi yanga basi atakuwa amerudi kwa shinikizo kutoka kwa watu wenye nguvu ndani ya nchi hii ambao ni mashabiki wa yanga na wala sio kisheria.
Kisheria Fei yuko sawa na vipengere vya mkataba wake na yanga vinampa uhalali wote wa kufanya alicho kifanya.
Mbona Morrison alifanya alicho kifanya Fei na hakuna mlilo mfanya mkaishia kubwabwaja tu?
Sheria nyingi za fifa huwa zinampa kipaumbele na kumlinda mchezaji na maslahi yake kwa namna yeyote.
Fei toto akiamuwa kuondoka Yanga ataondoka na hamta mfanya chochote na mkithubutu kwenda fifa atawagaragaza vibaya hamtaamini.
Tatizo lenu mnapenda ubishi sana kwa mambo msiyoyajua.Hivo vipengele vya mkataba wa Feisal ni vipi vilivyomfanya awe sahihi?
Ishu ya Morrison ulikua unaijua vizuri? Maana haifanani hata kidogo na hii ya Feisal
Ni afya kama na wewe una afya. Imagine mtu kama Kibu Denis ajaribu kutikisa kiberiti atajikuta yeye ndio anatikisikaKumbe kutikisa kiberiti ni afya
Pole sana we kolo. Yale Mashuti ya Feisal bado yataendelea kuwaumiza sanaBaada ya kuona hali inaenda kuwa mbaya kisheria kwa upande wao, wakaona bora wamtafute wakae nae chini wayamalize, wangethubutu kumshtaki Fei wangefundishwa adabu.
Sababu ya Yanga kulazimisha kukutana na Fei ilikuwa ni ili wamtongoze asiondoke, lakini hawakuwa na sababu yoyote ya maana kisheria ikiwa Fei alishatimiza masharti ya mkataba kwa ku activate clause iliyomtaka alipe mil 112 ili aondoke.View attachment 2459626
We unayeyajua basi tuletee mkataba full hapa wa Feisal tuona ujuaji wako.Tatizo lenu mnapenda ubishi sana kwa mambo msiyoyajua.
Mkuu unabwabwaja tu. Huna unachokijua kwa sababu kiutarabu amekosea na imeshaelezwa. Hebu acheni kukaza fuvu mnajiabisha tuHakuna cha fifa wala mdogo wake na fifa, iwapo fei akirudi yanga basi atakuwa amerudi kwa shinikizo kutoka kwa watu wenye nguvu ndani ya nchi hii ambao ni mashabiki wa yanga na wala sio kisheria.
Kisheria Fei yuko sawa na vipengere vya mkataba wake na yanga vinampa uhalali wote wa kufanya alicho kifanya.
Mbona Morrison alifanya alicho kifanya Fei na hakuna mlilo mfanya mkaishia kubwabwaja tu?
Sheria nyingi za fifa huwa zinampa kipaumbele na kumlinda mchezaji na maslahi yake kwa namna yeyote.
Fei toto akiamuwa kuondoka Yanga ataondoka na hamta mfanya chochote na mkithubutu kwenda fifa atawagaragaza vibaya hamtaamini.
Sawa mkuu nakuamini hujawahi feli ila pole kwa kusemwa vibaya na bado uko strong ..GO WITH YOUR RACEChukua hiyo na iamini kwa 100% sawa?
Kusoma hamjui, lakini hata picha pia....!!We unayeyajua basi tuletee mkataba full hapa wa Feisal tuona ujuaji wako.
Hata Morison hakuishinda Yanga sema Kuna forgery zilifanywa na Tff kushirikiana na Simba ili kumhalalisha Morison Simba na kipindi hicho Yanga ilikuwa zoofu kifedha hawakuweza fanya kitu..Hakuna cha fifa wala mdogo wake na fifa, iwapo fei akirudi yanga basi atakuwa amerudi kwa shinikizo kutoka kwa watu wenye nguvu ndani ya nchi hii ambao ni mashabiki wa yanga na wala sio kisheria.
Kisheria Fei yuko sawa na vipengere vya mkataba wake na yanga vinampa uhalali wote wa kufanya alicho kifanya.
Mbona Morrison alifanya alicho kifanya Fei na hakuna mlilo mfanya mkaishia kubwabwaja tu?
Sheria nyingi za fifa huwa zinampa kipaumbele na kumlinda mchezaji na maslahi yake kwa namna yeyote.
Fei toto akiamuwa kuondoka Yanga ataondoka na hamta mfanya chochote na mkithubutu kwenda fifa atawagaragaza vibaya hamtaamini.
Wengi wenu akili ndogo, mkiambiwa ukweli mnanuna.!!Pole sana we kolo. Yale Mashuti ya Feisal bado yataendelea kuwaumiza sana
Pumba tupu, hizo forgery kama zilifanywa na TFF mlivyokwenda kushtaki CAS mlishinda?!Hata Morison hakuishinda Yanga sema Kuna forgery zilifanywa na Tff kushirikiana na Simba ili kumhalalisha Morison Simba na kipindi hicho Yanga ilikuwa zoofu kifedha hawakuweza fanya kitu..
Kwa Sasa mambo ni tofauti kabisa Yanga ipo very stable kifedha ndio maana hata huyo Morison yupo Yanga na Feitoto bado ataendelea kuichezea yanga na nyie wenye roho mbaya (Mikia fc) mnazidi kupata maumivu.. Tutazidi kuwanyanyasa ndani na nje ya uwanja paka shume nyie