Huenda Lissu akajiengua mapema kabla ya uchaguzi wa CHADEMA kukwepa aibu na fedheha za kushindwa vibaya sana uchaguzi wa ndani wa chama

Asiyekubali kushindwa siyo mshindani! Lissu hakuomba nafasi hiyo kwa kuamini lazima achaguliwe! Yeye ameomba ridhaa ya wanachadema kuchaguliwa nafasi hiyo.
Kama hakuona fedheha ya kushindwa Urais 2020 leo ndiyo ataona fedheha kukosa Uenyekiti wa Chama?
 
Mara paaap FAM kajitoa kwenye kinyang’anyiro….you guys mtakuwa tayari kumpa support TAL? Aibu naona mimi πŸ˜‚
 
Yes,
ameomba kwa tamaa na uchu wa madaraka sana, na kuamua kuuacha umakamu mwenyekiti ambao angeupata kirahisi sana,

hii ndiyo ile inaitwa mtaka yote kwa pupa hukosa yote πŸ’
 
Mara paaap FAM kajitoa kwenye kinyang’anyiro….you guys mtakuwa tayari kumpa support TAL? Aibu naona mimi πŸ˜‚
Gentleman,
kisiasa,
hasa kwa wanataaluma na wabobevu waandamizi wa mambo haya, tutaeleza kinagaubaga athari, faida na matokeo ya hali hiyo,

hatutapoa kwa faida ya wadau wa JFπŸ’
 
  • Kanda ya Kaskazini, Pwani, Serengeti, Nyanda za Juu Kusini: Hizi ni kanda ambazo zinaweza kuwa na changamoto katika kupata kura, Bwana Lissu.
  • Kura za Huruma: Kanda ya Kati inaweza kupata kura hizi, labda kutokana na sababu maalum kama msaada wa kisiasa au hali ya kiuchumi.
 
UWT mmezidi
 
Lissu ni transformative mpeni nafasi.Kibindamu mbowe kachoka kwa nafasi hiyo huwezi kaa kwenye kiti hicho kwa more than 20years.Hakuna tofauti ya akina kagame,museveni,mbia nk...Lakini muhimu ni kuwa simtapiga kwani nini kelele pigeni kelele kwenye boksi la kura vinginevyo mnakosa uhalali wa kulalamikia CCM kuwaibia kura
 
Utasubiri sana!

Lissu ni sauti ya wasio na sauti
Lissu ni mzalendo
Lissu hanunuliki
Lissu atarudisha nchi kwa wananchi
 
Utasubiri sana!

Lissu ni sauti ya wasio na sauti
Lissu ni mzalendo
Lissu hanunuliki
Lissu atarudisha nchi kwa wananchi
Lissu anatafuta aibu na baada ya kuhesabu kura,atakimbilia Belgium!
 
muungwana anapitia kipindi cha mfedheheko mkubwa, atajiengua mapema kabla ya uchaguzi πŸ’
Ndio ndoto ya walioshindwa hii yaani unafeli kabla hujaingia chumba cha mtihani na unataka wote wawe Kama wewe.
 
Utasubiri sana!

Lissu ni sauti ya wasio na sauti
Lissu ni mzalendo
Lissu hanunuliki
Lissu atarudisha nchi kwa wananchi
sina haja ya kusubiri my friend,

ndiyo maana nasema Ukweli mtupu mapema sana, na hata huyo muungwana atajiengua mapema sana, maana ni aibu aise dah πŸ’
 
masula ya chaguzi sio peremende au zawadi anapewa mtu,

uchaguzi ni kura za wajumbe zaidi ya elfu 1000 wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema, kutokana katika kanda 10 za kiutawala Chadema.
Je, unazo kura ngapi hapo?

hiyo ni hisabati muhimu mno kizingatia na sio makelele tupu na kutengemea hisani na pengine huruma πŸ’
 
Uchaguzi wa CHADEMA wanaopiga mayowe ni CCM

Nchi ngumu hii
 
Smart by half. Dreams are natural. It ls when you share your dreams when the rest know who is you. Keep on!
 
Kwako, kushinda ni aibu?
 
Kwako, kushinda ni aibu?
kuanza kuweka masharti mapema dhidi ya uchaguzi wenyewe ni aibu zaidi na ni ishara ya kuaga mashindano mapema au kukiri kushindwa uchaguzi huo πŸ’
 
Smart by half. Dreams are natural. It ls when you share your dreams when the rest know who is you. Keep on!
thinking about motion or me personally its your free decion gentleman,

but the truth must be told without permission from anyone πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…