Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,Asiyekubali kushindwa siyo mshindani! Lissu hakuomba nafasi hiyo kwa kuamini lazima achaguliwe! Yeye ameomba ridhaa ya wanachadema kuchaguliwa nafasi hiyo.
Kama hakuona fedheha ya kushindwa Urais 2020 leo ndiyo ataona fedheha kukosa Uenyekiti wa Chama?
Gentleman,Mara paaap FAM kajitoa kwenye kinyang’anyiro….you guys mtakuwa tayari kumpa support TAL? Aibu naona mimi 😂
UWT mmezidiMama Ima,
hivi kwanini BAWACHA hamumpendi Lisu awe mwenyekiti?
naskia wengi wenu ni vilaza tu pale BAWACHA,na yeye hafagilii mambo flani flani, sasa umejipangaje mama Ima na hata ile cartificate ya hotel management hukumaliza kwasababu ya hiyo nafasi ya mtunza haszina?🐒
Lissu ni transformative mpeni nafasi.Kibindamu mbowe kachoka kwa nafasi hiyo huwezi kaa kwenye kiti hicho kwa more than 20years.Hakuna tofauti ya akina kagame,museveni,mbia nk...Lakini muhimu ni kuwa simtapiga kwani nini kelele pigeni kelele kwenye boksi la kura vinginevyo mnakosa uhalali wa kulalamikia CCM kuwaibia kuraila yeye kaachia bana umakamu uenyekiti kirahisi kabisaa dah..
sifahamu aliemshauri kama bado wako nae pamoja na sielewi walitumia mahesabu gani kuchukua uamuzi ambao unampa mawenge mno saivi dah!
dah,
gentleman,
mambo haya ni kujipanga kwa ustadi wa kiwango cha juu sana lakini pia kua na maono ya mbele zaidi kabla ya kuchukua uamuzi.
Ni muhimu zaidi kama wasomi,
kuasess kwa haraka sana merits na demerits ya maamuzi yetu na kuamua upande wenye faida zaidi 🐒
Utasubiri sana!Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao.
Kwa mazingira yaliyopo mpaka sasa, na kwa namna ambavyo hana mpango mikakati wowote wa kushinda uchaguzi huo zaidi ya kupumbazwa na mitandao ya kijamii.
Na ukimya wa chairman Mbowe dhidi yake na uchaguzi kwa ujumla, umempa kiwewe na mawenge zaidi. Lakini zaidi sana, kauli za baadhi ya wenyeviti wa kanda za kiutawala zimemstua na kumpumbaza zaidi kiasi kwamba hana anachoweza kukifanya kwa sasa
Ni wazi,
Tundu Antipas Lisu, hata subiri fedheha na aibu ya kushindwa vibaya siku ya uchaguzi, badala yake atajiengua mapema kukwepa dhihaka na udhalilishaji atakaoupata kwenye sanduku la kura, utakaofanywa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema waliojipanga na kupania kumchagua Freeman Aikaeli Mbowe.
Baadhi ya wajumbe wa kanda, mikoa na wilaya, wengi wao wameanza kumkwepa Lisu na kujitenga nae kabisa japo yeye analazimisha na kujisogeza kwao kinafiki.
Katika kujiengua kwake,
atasingizia rafu wanazofanyiwa wafuasi wake kabla ya kampeni, rushwa, ubaguzi na viashiria na mipango ya udanganyifu kwenye uchaguzi huo, vitu ambavyo sio vya kweli na hayupo wa kufanya hivyo ndani ya Chadema hii iliyogawanyika.
Tundu Lisu hatachaguliwa kwasababu ya mashaka ya nidhamu na uzalendo wake kwa wajumbe, hata chaguliwa kwasababu ya mashaka ya uraia wake kwa chama na taifa, maana inasemekana tayari ana uraia zaidi ya nchi moja, kitu ambacho ni kinyume chake sheria za nchi, hata chaguliwa kwasababu ya dhamira na nia yake inayotiliwa shaka, na kwamba yeye ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ana nia ya kuleta ukoloni mambo leo Tanzania n.k.
So,
kabla ya uchaguzi muungwana ataachia ngazi kwasababu Chadema wamemshtukia mapema dhamira na nia zake ovu.
Ukilikoroga lazima uliywe.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Lissu anatafuta aibu na baada ya kuhesabu kura,atakimbilia Belgium!Utasubiri sana!
Lissu ni sauti ya wasio na sauti
Lissu ni mzalendo
Lissu hanunuliki
Lissu atarudisha nchi kwa wananchi
Ndio ndoto ya walioshindwa hii yaani unafeli kabla hujaingia chumba cha mtihani na unataka wote wawe Kama wewe.muungwana anapitia kipindi cha mfedheheko mkubwa, atajiengua mapema kabla ya uchaguzi 🐒
sina haja ya kusubiri my friend,Utasubiri sana!
Lissu ni sauti ya wasio na sauti
Lissu ni mzalendo
Lissu hanunuliki
Lissu atarudisha nchi kwa wananchi
masula ya chaguzi sio peremende au zawadi anapewa mtu,Lissu ni transformative mpeni nafasi.Kibindamu mbowe kachoka kwa nafasi hiyo huwezi kaa kwenye kiti hicho kwa more than 20years.Hakuna tofauti ya akina kagame,museveni,mbia nk...Lakini muhimu ni kuwa simtapiga kwani nini kelele pigeni kelele kwenye boksi la kura vinginevyo mnakosa uhalali wa kulalamikia CCM kuwaibia kura
Uchaguzi wa CHADEMA wanaopiga mayowe ni CCMMtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao.
Kwa mazingira yaliyopo mpaka sasa, na kwa namna ambavyo hana mpango mikakati wowote wa kushinda uchaguzi huo zaidi ya kupumbazwa na mitandao ya kijamii.
Na ukimya wa chairman Mbowe dhidi yake na uchaguzi kwa ujumla, umempa kiwewe na mawenge zaidi. Lakini zaidi sana, kauli za baadhi ya wenyeviti wa kanda za kiutawala zimemstua na kumpumbaza zaidi kiasi kwamba hana anachoweza kukifanya kwa sasa
Ni wazi,
Tundu Antipas Lisu, hata subiri fedheha na aibu ya kushindwa vibaya siku ya uchaguzi, badala yake atajiengua mapema kukwepa dhihaka na udhalilishaji atakaoupata kwenye sanduku la kura, utakaofanywa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema waliojipanga na kupania kumchagua Freeman Aikaeli Mbowe.
Baadhi ya wajumbe wa kanda, mikoa na wilaya, wengi wao wameanza kumkwepa Lisu na kujitenga nae kabisa japo yeye analazimisha na kujisogeza kwao kinafiki.
Katika kujiengua kwake,
atasingizia rafu wanazofanyiwa wafuasi wake kabla ya kampeni, rushwa, ubaguzi na viashiria na mipango ya udanganyifu kwenye uchaguzi huo, vitu ambavyo sio vya kweli na hayupo wa kufanya hivyo ndani ya Chadema hii iliyogawanyika.
Tundu Lisu hatachaguliwa kwasababu ya mashaka ya nidhamu na uzalendo wake kwa wajumbe, hata chaguliwa kwasababu ya mashaka ya uraia wake kwa chama na taifa, maana inasemekana tayari ana uraia zaidi ya nchi moja, kitu ambacho ni kinyume chake sheria za nchi, hata chaguliwa kwasababu ya dhamira na nia yake inayotiliwa shaka, na kwamba yeye ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ana nia ya kuleta ukoloni mambo leo Tanzania n.k.
So,
kabla ya uchaguzi muungwana ataachia ngazi kwasababu Chadema wamemshtukia mapema dhamira na nia zake ovu.
Ukilikoroga lazima uliywe.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Smart by half. Dreams are natural. It ls when you share your dreams when the rest know who is you. Keep on!Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao.
Kwa mazingira yaliyopo mpaka sasa, na kwa namna ambavyo hana mpango mikakati wowote wa kushinda uchaguzi huo zaidi ya kupumbazwa na mitandao ya kijamii.
Na ukimya wa chairman Mbowe dhidi yake na uchaguzi kwa ujumla, umempa kiwewe na mawenge zaidi. Lakini zaidi sana, kauli za baadhi ya wenyeviti wa kanda za kiutawala zimemstua na kumpumbaza zaidi kiasi kwamba hana anachoweza kukifanya kwa sasa
Ni wazi,
Tundu Antipas Lisu, hata subiri fedheha na aibu ya kushindwa vibaya siku ya uchaguzi, badala yake atajiengua mapema kukwepa dhihaka na udhalilishaji atakaoupata kwenye sanduku la kura, utakaofanywa na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa Chadema waliojipanga na kupania kumchagua Freeman Aikaeli Mbowe.
Baadhi ya wajumbe wa kanda, mikoa na wilaya, wengi wao wameanza kumkwepa Lisu na kujitenga nae kabisa japo yeye analazimisha na kujisogeza kwao kinafiki.
Katika kujiengua kwake,
atasingizia rafu wanazofanyiwa wafuasi wake kabla ya kampeni, rushwa, ubaguzi na viashiria na mipango ya udanganyifu kwenye uchaguzi huo, vitu ambavyo sio vya kweli na hayupo wa kufanya hivyo ndani ya Chadema hii iliyogawanyika.
Tundu Lisu hatachaguliwa kwasababu ya mashaka ya nidhamu na uzalendo wake kwa wajumbe, hata chaguliwa kwasababu ya mashaka ya uraia wake kwa chama na taifa, maana inasemekana tayari ana uraia zaidi ya nchi moja, kitu ambacho ni kinyume chake sheria za nchi, hata chaguliwa kwasababu ya dhamira na nia yake inayotiliwa shaka, na kwamba yeye ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ana nia ya kuleta ukoloni mambo leo Tanzania n.k.
So,
kabla ya uchaguzi muungwana ataachia ngazi kwasababu Chadema wamemshtukia mapema dhamira na nia zake ovu.
Ukilikoroga lazima uliywe.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwako, kushinda ni aibu?Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao.

thinking about motion or me personally its your free decion gentleman,Smart by half. Dreams are natural. It ls when you share your dreams when the rest know who is you. Keep on!