Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao. RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi

Looooooo na nyadhifa zote ulizoziorodhesha hapo juu zinateuliwa na our no 1?,ndio maana katiba mpya ni muhimu, President ateue cabinet yake tu,CEOs wengine wa serikali waombe, nchi ibakiwe na mikoa 15 tu,na wilaya 45 tu, wizara 15 tu
Haya Ndio mawazo ya CHADEMA?
 
Haya Ndio mawazo ya CHADEMA?
Pumbavu wewe,nani kakuambia kuwa Nkanini ni spokesman wa CDM!,humu kuna wadau wanaochangia mada, na kila mtu ana mawazo yake, na mawazo yanapotofautiana ndio uzuri wa mjadala
 
Daaah
 
IMG-20221215-WA0139.jpg
 
Hiki bwawa la mwl Nyerere mje mniambie likiw tayar ujazo 80% nazn ntakuw babu tayar
 
View attachment 2440539
===
Baada ya kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapo juu,Naomba nidondoe kidogo haya,

Wakati wowote kuanzia Sasa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini na kwenye Chama, Mimi Wacha niwalaumu kidogo nyie maboss na endapo Kati yenu atasalia basi rekebisha hili,

Viongozi wetu, Miongoni mwenu mmegeuka mabubu mara tu baada ya kifo cha Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli , leo hii mmebaki na mama wala hakuna anayemtetea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Wala Serikali yake /yetu, Karibu wote mmepiga kimya,Sijui hili ni kwa bahati mbaya au ni kwa kusudio au mmechoka kuongoza,!!

Viongozi wetu, Wengi wenu mmekuwa mkijifanya nyie ni Wana-Serikali zaidi ya kuwa wanachama hata sare za Chama wengi wenu hamnazo na hamvai eti kisa nyie ni Serikali na wana wa Serikali tu,

Viongozi wetu, Tunakumbuka wakati wa JPM mlikuwa wasemaji wazuri sana wa miradi ya Serikali Ila leo mmegeuka mabubu ghafla kwa vigezo eti Mama hataki kusemewa vizuri kwa wananchi,Najiuliza hili nani kawaambia na lini?

Viongozi wetu, Sisi Wananchi tunahitaji viongozi walio Watendaji na Wasemaji, Haiwezekani Mkuu wa Mkoa au Waziri hana hata akaunti moja mtandaoni yeye kazi yake ni kuzurula tu na V8.

Viongozi wetu,Hivi hamfahamu Leo zaidi ya Watanzania milioni 25 wanamiliki simu Janja,Wewe kiongozi wao huna akaunti hata ya kupost barabara inayojengwa kwenye eneo lako kisa eti Wewe ni RC au Waziri unatuchelewesha sana na ni vema Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wazingatie sana hili kwani hii dunia imebadilika sana inahitaji Viongozi kuwa wabunifu sana,

Viongozi wetu,Mtakumbuka Rais wa nchi kubwa kama Donald Trump alitumia mtandao wa tweeter tu kuongoza nchi kubwa kama Marekani why Wewe mwenye Wilaya uko busy kupiga dili tu ili siku ziende.

Sote tunafahamu Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anayo akaunti Official kule tweeter Wewe DED huna ata akaunti moja kisa eti ni boss hakika kwenye karne hii 21 Wewe haustahili tupishe kwani Tanzania hii ya vyama vingi inataka kiongozi mwenye kutoa taarifa,

Sasa, huenda mabadiliko makubwa yakafanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya Serikali muda mfupi ujao nyie Mawaziri, RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi, Wengi wenu Mmegeuka mabubu ghafla baada ya kifo cha JPM huu si Uzalendo,​

[Kidumu chama cha Mapinduzi]
Hii ngoma lini inawaka?!
 
Yaweza kuwa hoja ya kuwamaliza masalia na kujenga mtandao tata mpya
Mama Tozo inaelekea kasahau ahadi zake.. iweje toka alivyoahidi kula vichwa vya waramba asali mpaka leo jii? Inabidi wamkumbushe na wafinye safari zake sasa ili asije kufanya mabadiliko mwakani 2023
 
Back
Top Bottom