Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

hakuna anayelazimishwa kuchagua au kuchaguliwa, NO ELECLTION ni childish illusions ya imbecils
ni narrative potofu isiyo na athari yoyote kisiasa, kijamii na kiuchumi ndio maana imepuuzwa kirahisi sana ground, field na kwenye mitandao ya kijamii πŸ’
 
Tlaatlaah Metal capacity yako ni ndogo, huwezi ukabishana na ukweli ukabakia na Amani ya moyo, unapoweka pachika hapa jaribu kureason, kidogo chawa Paskal anajitahidi japo na yeye anajua ukweli lakini njaa inamfanya ajiondoe ufahamu, mumebakia kuwa Political sycophants, (chawa wa kisiasa)
 
 
We jamaa kumbe ni mlemavu mpka wa akili
relax gentleman,
huna haja kunyanyapaa na kubeza jamii ya watu wenye uelemavu ikiwa huna hoja au pweinti.

hujafa hujaumbika gentleman πŸ’
 
Kazi yako ngumu
 
relax gentleman,
huna haja kunyanyapaa na kubeza jamii ya watu wenye uelemavu ikiwa huna hoja au pweinti.

hujafa hujaumbika gentleman πŸ’
Ndo usituletee threads za kindezi hapa.
 
Ndo usituletee threads za kindezi hapa.
ikiwa huna pweinti unahaja gani kufuatilia uzi wa maana kama huu gentleman?
si unajitafutia mihemko ya bure tu nawe hupendi ukweli πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…