Huenda Mkoa wa Morogoro ukagawanywa na kuwa mikoa miwili; Morogoro na Kilombero

Hapo kwa Yanga sawa sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAFI SANA
 

Hii itakuwa safi Sana
 
Hivi hizi Wilaya mpya au mikoa mipya inamsaidia nini mkulima wa mpunga zaidi ya kumwongezea gharama za maisha kupitia kodi mbali mbali
Fursa za masoko ,kuleta huduma karibu Kama benk,kuborasha barabara ,kupanua wigo wa uwakilishi serikali kuu na seriakali za mtaa ambako ndo mipango ya afya,maji,umeme,ushuru ,barabara inapangwa.Mambo ya TASAF kilimo,elimu nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeharibu hapo kwenye Yanga....utopolo fc bana ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanipe hata uafisa tawala wilaya jamani. Na mimi ni mrembo tu mbona kuliko hata Jokate
 
Ni busara sana kwani ukiangalia makao makuu ya mkoa hadi ufike Malinyi utaona kuna kilometa kama 800 na makao makuu yapo karibu na mkoa wa pwani na Malinyi ipo karibu na Mkoa wa Ruvuma Songea yaani ukifika huko na ukiambiwa ni bado uko Morogoro unashangaa mkoa ni mkubwa kama Urusi.
 
Nimecheka hapo MKOA MKUBWA KM URUSI!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Malinyi si ndio WATU WA MAREKANI walikuwa wanatoboa barabara mpya ya kutokea Ruvuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hizi Wilaya mpya au mikoa mipya inamsaidia nini mkulima wa mpunga zaidi ya kumwongezea gharama za maisha kupitia kodi mbali mbali
Mwaka wa uchaguzi huu nduguu!!!
Huo ni mgawanyo wa majimbo mapya ya uchaguzi na kuna vigogo wa chama na serikali wataenda kugombea
 
Wee mpya kabisa! ,au matpo yuza?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kuongeza gharama na pia kupunguza ardhi ya kilimo ukichukulia morogoro ni miongoni mwa mikoa ambayo ina ardhi kubwa inayotumika kwa kilimo
 
Naunga mkono hoja ya Morogoro kugawanywa Mara mbili.ni Mkoa mkubwa Sana. Haiwezekani Mkoa mmoja utumie saa 12 kumaliza. Pili kilombero itakua kupita Morogoro Mjini kwani inarasilimali nyingi mfano mabonde yenye rutuba,hifadhidhi nzuri uduzungwa na selou. Madini ya ulanga na miti ya mitiki.
Hivi hizi Wilaya mpya au mikoa mipya inamsaidia nini mkulima wa mpunga zaidi ya kumwongezea gharama za maisha kupitia kodi mbali mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morogoro kiukweli ni mkoa mkubwa sana, kiutawala ngumu, kuanzia Kisaki huko unatokea Kibiti, uje Turiani ukatokea Handeni, uje uende Malinyi utokee Namtumbo huko, na una watu wengi...wahamiaji..hasa wasukuma na wamasai wanazaliana bila nyota za bluu na mifugo yao..

Siyo wazo baya..kwa wapigaji dili hili ni pigo 😀

Everyday is Saturday......................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…