Pre GE2025 Huenda mmoja kati ya hawa akamrithi Rais Samia Suluhu 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
SIWEZI KUKULAUMU
 
Yaa
Yaani Urais siku hizi ni li cheo la hovyo sana.
2015 Mark MWANDOSYA alisema "ikiwa J Makamba ameingia top 3,basi CCM ijitafakari.

Sasa kwa orodha za namna hii ni kweli CCM ilishakosa uwezo wa kuiongoza Tanganyika ila sema tu kuwa moshi wa kile kibatari utakuwa una nguvu za kuwatuma policcm na kufanya wanayofanyaga.

Rais anaandaliwa,matatizo ya kuto muandaa vyema Rais tumeyaona 2015-2021-2024 sasa.
Kwenye orodha yako hakuna na hayupo anayeandaliwa.
 
Simuoni Paul Christian Makonda. Hii orodha ni batili.
 
Namba 1 hadi 5 alipaswa kuwa mtu mmoja tu, Dotto Mashaka Biteko. Hao wengine wote ni majina tu umetumia kujaza orodha.

Mtu kama Kafulila au Polepole nao wa kuwaweka kwenye list? Iko wazi Waziri Mkuu ajaye ni Biteko na Rais ajaye ni yeye pia.

Ova
YUPO chini ya uangalizi juu ya URAIA WAKE ASILI YAKE,hawezi pewa hiyo nafasi,Hawa ndo walosemwa na BOSI MMOJA WA CHOMBO CHA ULINZI mabakamabaka, HATUWEZI KUWEKA REHANI NCHI.

2025 Anakuja candidate mwingine, MAMA analiwa timing na team flani mbili ndani ya Chama.

🤔🤔
 
Hayo mabumunda yatapitiswa kuongoza tz ipi ??
Labda ikiwa hakutakuwa na uchaguzi watapitishwa

Hi mnawaona watz mafala sana
 
Labda Mwamba Mwigulu hao wengine wasahau
 
Gen. Venancy Salvatory Mabeyo, Emanuel Nchimbi, Paul Christian Makonda and Hussein Mwinyi are the ones who will be factors complicating presidential hopefully equations come 2030🐒

the ones you mentioned in the list, are may be for vice president and prime ministers capacities,

you must also consider gender equality becoz that is another complication we have as far as 2030 elections is concerned 🐒
 
Namba 1 hadi 5 alipaswa kuwa mtu mmoja tu, Dotto Mashaka Biteko. Hao wengine wote ni majina tu umetumia kujaza orodha.

Mtu kama Kafulila au Polepole nao wa kuwaweka kwenye list? Iko wazi Waziri Mkuu ajaye ni Biteko na Rais ajaye ni yeye pia.

Ova
Amka kwenye hiyo ndoto.

Sukuma gang mnashida sana! Hamjakoma tu?
 
Apewe Nchi Kassim Majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…