ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Who are Gen Z ??!Maybe Gen Z wawe wamekufa wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who are Gen Z ??!Maybe Gen Z wawe wamekufa wote.
Atabebwa na wajanja wa mujini !Magufuli alikuwa anauzika kutokana na utendaji wake wakati ni waziri wa ujenzi.
Huyu January wenu kipi cha maana kafanya, anauzika kwa kipi?
The elite group who punish the government whose executives act awfully.Who are Gen Z ??!
Labda Na.11Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.
Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.
1. Hamprey Herson Polepole
2. Mhe Antony Peter Mavunde
3. Mhe Juma Hamidu Aweso
4. Mhe Mohamed Mchengerwa
5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu
6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo
7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba
8. Mhe January Yusuph Makamba.
9. Mhe Luhaga Joelson Mpina
10. Mhe Jerry William Silaa
11. Mhe Emmanuel John Nchimbi
12. Mhe David Zacharia Kafulila
Haya maneno yaliwahi kuwepo kwa Hussein Mwinyi na sasa yumo Ikulu ya Zanzibar. Madai ya hivi kwa Tanzania huja kwa fitna uchwara tu.Dotto Biteko ana changamoto za Kiuhamiaji. Nafasi alizoshika sasa ndiyo za mwisho
Namba 1 na 12 can do, wengine wote takatakaOrodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.
Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.
1. Hamprey Herson Polepole
2. Mhe Antony Peter Mavunde
3. Mhe Juma Hamidu Aweso
4. Mhe Mohamed Mchengerwa
5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu
6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo
7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba
8. Mhe January Yusuph Makamba.
9. Mhe Luhaga Joelson Mpina
10. Mhe Jerry William Silaa
11. Mhe Emmanuel John Nchimbi
12. Mhe David Zacharia Kafulila
Hizo ni hoja nyepesi sana kwenye suala kubwa kama la Urais wa nchi. Mnataka atajwe January ambaye hata jimbo la Ubunge linamshinda.Amka kwenye hiyo ndoto.
Sukuma gang mnashida sana! Hamjakoma tu?
Issue ya Dr Hussein Mwinyi na Jenerali haxifanani na hii ya BitekoHaya maneno yaliwahi kuwepo kwa Hussein Mwinyi na sasa yumo Ikulu ya Zanzibar. Madai ya hivi kwa Tanzania huja kwa fitna uchwara tu.
Hata Jenerali Ulimwengu huko nyuma aliambiwa mhamiaji, halafu ikaisha. Ukitaka kuelewa zaidi kuhusu fitna uchwara za hivi muulize Bashe.
Ova
Ohooo ! That’s nice 😊The elite group who punish the government whose executives act awfully.
Unaishi wapi? Duniani Rais anachaguliwa kwa Misingi ya Uadilifu hasa maswala ya Rushwa na ukwepaji wa kodiRushwa sio ya kukemewa tu,bali ichukiwe,izuiwe na wananchi wote, ingawa kuchukia rushwa sio kigezo pekee kuwa mgombea uraisi.
Mpinga rushwa ni 12 sijui kama anasifa zingine zinazohitajikaOrodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.
Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.
1. Hamprey Herson Polepole
2. Mhe Antony Peter Mavunde
3. Mhe Juma Hamidu Aweso
4. Mhe Mohamed Mchengerwa
5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu
6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo
7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba
8. Mhe January Yusuph Makamba.
9. Mhe Luhaga Joelson Mpina
10. Mhe Jerry William Silaa
11. Mhe Emmanuel John Nchimbi
12. Mhe David Zacharia Kafulila
Je afya inamruhusu? Huoni toka Mwendazake amtoe wodini kuzungumza na vyombo vya habari pale UDOM hospital wodini kukanusha COVID-19 bado haja recover?2025 Rais ni Dr. Mpango , Mark this post, sijui atakuwaje katika mazingira gani ila 2025 ni Dr. Mpango , Deal completed and sealed
Nikutakie siku njema.Issue ya Dr Hussein Mwinyi na Jenerali haxifanani na hii ya Biteko