- Thread starter
- #121
Huyo mmoja ni nani?Dah nasikitika kuwa hakuna hata mmoja kati ya hao uliowaandikisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mmoja ni nani?Dah nasikitika kuwa hakuna hata mmoja kati ya hao uliowaandikisha
Pole pole ndo atafattia hapoOrodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.
Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.
1. Hamprey Herson Polepole
2. Mhe Antony Peter Mavunde
3. Mhe Juma Hamidu Aweso
4. Mhe Mohamed Mchengerwa
5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu
6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo
7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba
8. Mhe January Yusuph Makamba.
9. Mhe Luhaga Joelson Mpina
10. Mhe Jerry William Silaa
11. Mhe Emmanuel John Nchimbi
12. Mhe David Zacharia Kafulila
12 na 1Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.
Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.
1. Hamprey Herson Polepole
2. Mhe Antony Peter Mavunde
3. Mhe Juma Hamidu Aweso
4. Mhe Mohamed Mchengerwa
5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu
6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo
7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba
8. Mhe January Yusuph Makamba.
9. Mhe Luhaga Joelson Mpina
10. Mhe Jerry William Silaa
11. Mhe Emmanuel John Nchimbi
12. Mhe David Zacharia Kafulila
Wait and see. Magufuli mlisema hivyo hivyo na ikawa
Magufuli alikuwa anauzika kutokana na utendaji wake wakati ni waziri wa ujenzi.Wait and see. Magufuli mlisema hivyo hivyo na ikawa 😂️😂️😂️
Mkuu, mbona kama sikuelewi vile maana sioni jina la Waziri Mkuu wala Naibu wake.Wote Wana sifa, Yoyote kati yao atafaa sana,
Tanzania Rais anachaguliwa na Mungu mwenyewe Wala sio mapesa
labda rais kwenuH
uyu ndie atakuja kuwa Rais!!!?
Mkuu mbona kichwani wapo vizuri sana; Urais hauhusiani na umri wa kusfaafu2030 Mzee Umri utakuwa umekwenda sana ila ni jembe
Hiki ndo kipindi cha kukumbusha ahadi kwa wabunge wetu.Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.
Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.
1. Hamprey Herson Polepole
2. Mhe Antony Peter Mavunde
3. Mhe Juma Hamidu Aweso
4. Mhe Mohamed Mchengerwa
5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu
6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo
7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba
8. Mhe January Yusuph Makamba.
9. Mhe Luhaga Joelson Mpina
10. Mhe Jerry William Silaa
11. Mhe Emmanuel John Nchimbi
12. Mhe David Zacharia Kafulila
Tanzania hakuna Waziri Mkuu wala makamu wake amewahi kuwa Rais wa nchi usiniulize kwanini,Mkuu, mbona kama sikuelewi vile maana sioni jina la Waziri Mkuu wala Naibu wake.
Namba 7 mtauzwa mchana kweupe.Wote Wana sifa, Yoyote kati yao atafaa sana,
Tanzania Rais anachaguliwa na Mungu mwenyewe Wala sio mapesa
naunga mkono hoja 😂😂Kama vipi nchi apewe Tumbiri 😀😀😀
Nchi ambayo watu wanawaza uchaguzi na viongozi wafuatao ili, kuendelea kuishi kwa, anasa.Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.
Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.
1. Hamprey Herson Polepole
2. Mhe Antony Peter Mavunde
3. Mhe Juma Hamidu Aweso
4. Mhe Mohamed Mchengerwa
5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu
6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo
7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba
8. Mhe January Yusuph Makamba.
9. Mhe Luhaga Joelson Mpina
10. Mhe Jerry William Silaa
11. Mhe Emmanuel John Nchimbi
12. Mhe David Zacharia Kafulila
Vyombo vya dola ndio huyo Mungu ?Wote Wana sifa, Yoyote kati yao atafaa sana,
Tanzania Rais anachaguliwa na Mungu mwenyewe Wala sio mapesa
Hamna kituVyombo vya dola ndio huyo Mungu ?
Mpaka Mbeleko zikichoka kubeba ndipo watakapo kaa pembeni 😳🙄Mmeshaona hii nchi inahatimiliki ya ccm.
Huyo pekee ndio hata mimi namkubali kutoka Chamani. 🙄🙌👍Watuletee Dr. Mwinyi.
Nani huyo anayemtafuta huyo mpambanaji wa Ufisadi 😅😅😅😂😂🤠🤠Mpambanaji wa Ufisadi anatafutwa