Pre GE2025 Huenda mmoja kati ya hawa akamrithi Rais Samia Suluhu 2030

Pre GE2025 Huenda mmoja kati ya hawa akamrithi Rais Samia Suluhu 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.

Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.

1. Hamprey Herson Polepole

2. Mhe Antony Peter Mavunde

3. Mhe Juma Hamidu Aweso

4. Mhe Mohamed Mchengerwa

5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu

6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo

7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba

8. Mhe January Yusuph Makamba.

9. Mhe Luhaga Joelson Mpina

10. Mhe Jerry William Silaa

11. Mhe Emmanuel John Nchimbi

12. Mhe David Zacharia Kafulila​
Kwamba Gwaji Boy hayupo kabisa?
 
1,2,9,10, 11 Mmoja wapo akitia nia anaweza akawa, wawili kati yao tayari, Ni muhimu " tasisi tawala' kuwasuka zaidi ikiwaridhia, ila tusisahau katika ukoo wa Yese alitoka Mfalme Daudi asiyetazamiwa
 
1,2,9,10, 11 Mmoja wapo akitia nia anaweka, wawili kati yao, Ni muhimu " tasisi tawala' kuwasuka zaidi ikiwaridhia, ila tusisahau katika ukoo wa Yese alitoka Mfalme Daudi asiyetazamiwa
Ndio David 😃😃
 
Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.

Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.

1. Hamprey Herson Polepole

2. Mhe Antony Peter Mavunde

3. Mhe Juma Hamidu Aweso

4. Mhe Mohamed Mchengerwa

5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu

6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo

7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba

8. Mhe January Yusuph Makamba.

9. Mhe Luhaga Joelson Mpina

10. Mhe Jerry William Silaa

11. Mhe Emmanuel John Nchimbi

12. Mhe David Zacharia Kafulila​
Kwani uchaguzi wa 2025 tayari? Je,upinzani hakuna candidate?
 
Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.

Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.

1. Hamprey Herson Polepole

2. Mhe Antony Peter Mavunde

3. Mhe Juma Hamidu Aweso

4. Mhe Mohamed Mchengerwa

5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu

6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo

7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba

8. Mhe January Yusuph Makamba.

9. Mhe Luhaga Joelson Mpina

10. Mhe Jerry William Silaa

11. Mhe Emmanuel John Nchimbi

12. Mhe David Zacharia Kafulila​
Kwahiyo ACT, Chauma, CUF, Chadema, na vyama vingine havina watu? Sijaona orodha yao.
 
Orodha hii ya majina imezingatia zaidi vita dhidi ya Ufisadi na Mafisadi ndani ya Tanzania.

Majina haya kwa nyakati tofauti tofauti na maeneo tofauti tofauti yamepambana na rushwa wala rushwa pamoja na Ufisadi.

1. Hamprey Herson Polepole

2. Mhe Antony Peter Mavunde

3. Mhe Juma Hamidu Aweso

4. Mhe Mohamed Mchengerwa

5. Mhe Tulia Ackson Mwansasu

6. Mhe Kitila Alexander Mkumbo

7. Mhe Mwigulu Lameck Nchemba

8. Mhe January Yusuph Makamba.

9. Mhe Luhaga Joelson Mpina

10. Mhe Jerry William Silaa

11. Mhe Emmanuel John Nchimbi

12. Mhe David Zacharia Kafulila​
Mbona mafisadi ndo hao umewaweka kwenye orodha
 
Back
Top Bottom