Pre GE2025 Huenda mmoja kati ya hawa akamrithi Rais Samia Suluhu 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda Na.11
 
Dotto Biteko ana changamoto za Kiuhamiaji. Nafasi alizoshika sasa ndiyo za mwisho
Haya maneno yaliwahi kuwepo kwa Hussein Mwinyi na sasa yumo Ikulu ya Zanzibar. Madai ya hivi kwa Tanzania huja kwa fitna uchwara tu.

Hata Jenerali Ulimwengu huko nyuma aliambiwa mhamiaji, halafu ikaisha. Ukitaka kuelewa zaidi kuhusu fitna uchwara za hivi muulize Bashe.

Ova
 
Namba 1 na 12 can do, wengine wote takataka
 
Bora tukodi hata Mzungu aje kuongoza hata mwaka pengine tutafika ile nchi ya ahadi
 
Issue ya Dr Hussein Mwinyi na Jenerali haxifanani na hii ya Biteko
 
Rushwa sio ya kukemewa tu,bali ichukiwe,izuiwe na wananchi wote, ingawa kuchukia rushwa sio kigezo pekee kuwa mgombea uraisi.
 
Rushwa sio ya kukemewa tu,bali ichukiwe,izuiwe na wananchi wote, ingawa kuchukia rushwa sio kigezo pekee kuwa mgombea uraisi.
Unaishi wapi? Duniani Rais anachaguliwa kwa Misingi ya Uadilifu hasa maswala ya Rushwa na ukwepaji wa kodi
 
Mpinga rushwa ni 12 sijui kama anasifa zingine zinazohitajika
 
2025 Rais ni Dr. Mpango , Mark this post, sijui atakuwaje katika mazingira gani ila 2025 ni Dr. Mpango , Deal completed and sealed
 
Sometimes if you elect someone like Mr Kafulila might be more promising than big names like Lameck...just thinking
 
2025 Rais ni Dr. Mpango , Mark this post, sijui atakuwaje katika mazingira gani ila 2025 ni Dr. Mpango , Deal completed and sealed
Je afya inamruhusu? Huoni toka Mwendazake amtoe wodini kuzungumza na vyombo vya habari pale UDOM hospital wodini kukanusha COVID-19 bado haja recover?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…