Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #21
Endelea kujidanganya, kuchepuka si malaya ila anashindwa kujizuia maana unakuta mwanamke yupo ovulation, mwanaume unalala na jeans eti una mawazo , sasa ulimuoa wa nini?Huku kwetu usukumani
Sio wanawake wote wanatoka nje ya ndoa na pia sio wanawake wote ni malaya kama huko daslam. Acha kufanya GENERALIZATION
Si kweli. Kama hajawahi kufikishwa kileleni, au ulimuoa akiwa bikira, na sasa ndio mke wako, hawezi kutamani jambo asilolijua. Utasemaje natamani kula numbu za Kigoma wakati numbu hujui zina radha gani?Hayo mengine mwanamke hataki, nyumba Masaki, Gari , Vaccation Dubai na credit card utampa ila kama humfikishi siku akipata hata mkata majani hapo kwako atagongwa kwenye banda la ngombe.
Wakimbia majukumu wanaanza kutoa milio.Aibu hii. Madhara ya pornography na punyeto. Anadhani Kila mwanamke atamwaga.
Nimeipenda hiimwanamke kufika kileleni ni jukumu lake mwenyewe
Watoto wa shule ya msingi wanafahamu haya mambo , na hawajawahi kufanyana ila wakipiga story wanakwambia " mimi nataka mwanaume anayekwenda raundi tatu" sasa wewe jidanganye na bikra wako hapo ufikiri kama huko shule, saluni, kuchota maji, nyumba ya kupanga hawaambiani!Si kweli. Kama hajawahi kufikishwa kilelelni, au ulimuoa akiwa bikira, na sasa ndio mke wako, hawezi kutamani jambo asilolijua. Utasemaje natamani kula numbu za Kigoma wakati numbu hujui zina radha gani? Shauri yenu mliooa watu wamefikishwa kila kilele, Kibo, Mawenzi, Everest, Mount Kenya, etc, halafu nyie mnawapandisha Kilimani tu hapo UD!
Kwahiyo wewe ni wale watoto wa 2000 mliofanyiwa jando na ganzi na hamkufunzwa chakula kikuu cha mwanamke?Aibu hii. Madhara ya pornography na punyeto. Anadhani Kila mwanamke atamwaga.
Kama unafikiri raundi sita ndio zinafikisha kileleni sawa, njoo tu, tunakusubiri huku kwenye umri wa after 30 tuone hizo round sita zako zimefikia wapi!Watoto wa shule ya msingi wanafahamu haya mambo , na hawajawahi kufanyana ila wakipiga story wanakwambia " mimi nataka mwanaume anayekwenda raundi tatu" sasa wewe jidanganye na bikra wako hapo ufikiri kama huko shule, saluni, kuchota maji, nyumba ya kupanga hawaambiani!
uberimae fidei na mkopo wa OYA anafika.Nimeipenda hii
Yaani hela umpe,umuhudumie,na gharama nyingine utoe pia na bado umpandishe huko kilimanjaro khaaa!!
Life style yako tu , nina mjukuu na bado nafikishwa raundi tatu ,acheni uvivu.Kama unafikiri raundi sita ndio zinafikisha kileleni sawa, njoo tu, tunakusubiri huku kwenye umri wa after 30 tuone hizo round sita zako zimefikia wapi!
Wenzako tulishajifunza jinsi roundi moja tu mwanamke hana hamu hadi wiki ijayo!
kwa kask. wakali wa hizo kuunganisha ni sisi wameru, hata wamasai na wapare. wachaga hamna mambo.Kufika kileleni kwa baadh ya wanawake huambatana na kurushwa kwa maji maji ukeni yakiruka kama bomba kupitia njia ya uke lakini si haja ndogo.Majimaji hutoka karibu na uke, kwenye tezi inayoitwa "skene".
Kwa wanaume wakifika kileleni hukakamaa , hutoa mlio kama simba, kumkumbatia mwenza na kupata usinizi mzito sana.
Wapo wanaume wachache wanaweza kuunganisha bao la kwanza la la pili, wachache sana na wengi ni wa Mikoa ya Kaskazini kwa tafiti zinaonyesha Arusha na Kilimanjaro.
Tatizo kubwa katika hili ni kwamba ukienda kwenye tendo la ndoa kwa ajili ya kujifurahisha na kuishia kughushi, unachopata ni kuchanganyikiwa na kupungua kwa hamu.
Wakati mwingine kufika kileleni haionekani, kwa sababu tuna wasiwasi, tumechoka, kwenye lishe, na kazi nyingi ... Lakini hii lazima iwe kitu maalum. Ikiwa hufikii mara saba kati ya 10, nenda moja kwa moja kwenye mtaalam wa ngono.
Wanandoa wengi , yaani wanaume na wanawake wana tabia ya kuighushi ikiwa wanapoteza ugumu wa uume au wanapata shida kuitunza, ama kwa sababu ya wasiwasi au kwa sababu wanatumia dawa za mfadhaiko (dawa hizi hupunguza kasi ya kufika kileleni).
Kuna mtu ana ndoa ya miaka 30 na hajawahi kufikishwa kileleni.
SWALI KWA WANAWAKE: Je, Mama mwenzangu , kuwa mkweli, umewahi kufikishwa kileleni ?
Umewahi kurusha maji? Squitting?
SWALI KWA WANAUME: Mkeo/mchumba kama hujawahi kumfikisha kileleni, au kama hujawahi kumtoa hayo maji siku ikitokea akakutana na dereva boda-boda akamfikisha kileleni basi ndoa imekufa.!
GEN -Z na WANAUME: Mkiona mwanaume mwenye ndoa anakula chips au ice cream au kuku wa kisasa mwambie atasaidiwa kazi na dereva bodaboda.
NOTE: Wanawake wengi wanaofungua talaka pale Mahakama ya Temeke-kituo jumuishi , wanaleta visingizio vingi ila kikubwa ni kutofikishwa kilwlwni na wao wakiona uzi kama hu ndio hasira kabisa.
mleta uzi ni porn addictedAibu hii. Madhara ya pornography na punyeto. Anadhani Kila mwanamke atamwaga.
Wameru ni wale wa Akheri, Singisi na Poli tu .kwa kask. wakali wa hizo kuunganisha ni sisi wameru, hata wamasai na wapare. wachaga hamna mambo.
Nimeona porn zamani ile mikanda ya VHS, zaidi ya miaka 40 sasa sijui hizo kitu.mleta uzi ni porn addicted
Kwa uzoefu wangu mpaka hapa nilipofika kuna wanawake nimekutana nao wakasquit/kumwaga maji na wengine hawakufnya hivy😵ndoa shaka tunawafikisha sana tu ila na wao wapunguze stress za vicobai do agree with you, ila walau umfikishe jamani , loh.
Hahaha!!! Wewe utakuwa unakula siment viungo vyote vimekazaLife style yako tu , nina mjukuu na bado nafikishwa raundi tatu ,acheni uvivu.
Ndoa nyingi tuu zinadumu bila kutoa maji kwahyo huna hoja ya msingi kiukweli,na kama kunawanawake wanawaacha wanaume kwa sabab hii💀Kufika kileleni kwa baadh ya wanawake huambatana na kurushwa kwa maji maji ukeni yakiruka kama bomba kupitia njia ya uke lakini si haja ndogo.Majimaji hutoka karibu na uke, kwenye tezi inayoitwa "skene".