Tetesi: Huenda Rais Samia asilivunje bunge rasmi leo hii

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,446
Reaction score
3,319
Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025.

Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la Wawakilishi Zanzibar siku moja baada ya kikao cha Baraza la mawaziri kilichoongozwa na Rais Samia. Kwa vyovyote vile uamuzi huu wa kuliongezea Baraza la wawakilishi Zanzibar muda wake mpaka August haukuwa wa bahati mbaya na ni lazima umehusisha chama na serikali na sababu iliyotolewa ni kwamba bunge liendelee ili kukamilisha maandalizi ya uchaguzi. Swali ni je maandalizi gani ya uchaguzi yanayolihusu Baraza la wawakilishi Zanzibar? Na je bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lenyewe halihusiki na maandalizi ya uchaguzi mkuu? Je na lenyewe litavunjwa?.

Ni kwa sababu hizo kumekuwepo na tetesi kuwa Rais Samia naye pamoja na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatalivunja rasmi kwa sababu ileile ya kuendelea na maandalizi ya uchaguzi.

Wakatabahu!
 
Wanahingana pesa za wananchi kwa kuendelea kuoeana ajirA
 
Sawa. Wacha tusikilize hotuba. Tutarudi.
 
Livunjwe jamani hili bunge halikuwa na maana
 
Machawa wanamshinikiza hiyo sentensi ya kuahirisha bunge aiondoe kwenye hotuba yake. Wanataka alivunje bunge, ndiyo maana mnaon haiingii ukumbi wabunge mpk muda huu. Analia tu mama wa watu.
 
Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025.

Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la Wawakilishi Zanzibar siku moja baada ya kikao cha Baraza la mawaziri kilichoongozwa na Rais Samia. Kwa vyovyote vile uamuzi huu wa kuliongezea Baraza la wawakilishi Zanzibar muda wake mpaka August haukuwa wa bahati mbaya na ni lazima umehusisha chama na serikali na sababu iliyotolewa ni kwamba bunge liendelee ili kukamilisha maandalizi ya uchaguzi. Swali ni je maandalizi gani ya uchaguzi yanayolihusu Baraza la wawakilishi Zanzibar? Na je bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lenyewe halihusiki na maandalizi ya uchaguzi mkuu? Je na lenyewe litavunjwa?.

Ni kwa sababu hizo kumekuwepo na tetesi kuwa Rais Samia naye pamoja na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatalivunja rasmi kwa sababu ileile ya kuendelea na maandalizi ya uchaguzi.

Wakatabahu!
Given.
Uchaguzi mpk February 2026
 
Back
Top Bottom