Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Sawa. Wacha tusikilize hotuba. Tutarudi.Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025.
Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la Wawakilishi Zanzibar siku moja baada ya kikao cha Baraza la mawaziri kilichoongozwa na Rais Samia. Kwa vyovyote vile uamuzi huu wa kuliongezea Baraza la wawakilishi Zanzibar muda wake mpaka August haukuwa wa bahati mbaya na ni lazima umehusisha chama na serikali na sababu iliyotolewa ni kwamba bunge liendelee ili kukamilisha maandalizi ya uchaguzi. Swali ni je maandalizi gani ya uchaguzi yanayolihusu Baraza la wawakilishi Zanzibar? Na je bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lenyewe halihusiki na maandalizi ya uchaguzi mkuu? Je na lenyewe litavunjwa?.
Ni kwa sababu hizo kumekuwepo na tetesi kuwa Rais Samia naye pamoja na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatalivunja rasmi kwa sababu ileile ya kuendelea na maandalizi ya uchaguzi.
Wakatabahu!
Mpaka sasahivi hajatokea bungeniSawa. Wacha tusikilize hotuba. Tutarudi.
Hili neno kuhairisha au kuongeza siku ni gumu kweli kuliandika, hivyo hapa tupo tunajaribu kufanya spelling checkMpaka sasahivi hajatokea bungeni
Given.Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025.
Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la Wawakilishi Zanzibar siku moja baada ya kikao cha Baraza la mawaziri kilichoongozwa na Rais Samia. Kwa vyovyote vile uamuzi huu wa kuliongezea Baraza la wawakilishi Zanzibar muda wake mpaka August haukuwa wa bahati mbaya na ni lazima umehusisha chama na serikali na sababu iliyotolewa ni kwamba bunge liendelee ili kukamilisha maandalizi ya uchaguzi. Swali ni je maandalizi gani ya uchaguzi yanayolihusu Baraza la wawakilishi Zanzibar? Na je bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lenyewe halihusiki na maandalizi ya uchaguzi mkuu? Je na lenyewe litavunjwa?.
Ni kwa sababu hizo kumekuwepo na tetesi kuwa Rais Samia naye pamoja na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatalivunja rasmi kwa sababu ileile ya kuendelea na maandalizi ya uchaguzi.
Wakatabahu!
MnaotaGiven.
Uchaguzi mpk February 2026
Usijali. Kaangalie tv ya jirani. Labda ya kwako ipo nyuma. Au imegoma kama Chadema! Ahahahahaha!!!Mpaka sasahivi hajatokea bungeni
Bunge la hovyo tangu nchi ipate uhuruLivunjwe jamani hili bunge halikuwa na maana