Honestly mkuu the way uko proud inaonesha hauko sawa bado.Kwenye ulaji wa mbususu sikujisumbua sana, nilisukuma tako zangu mbili, wazungu haooo. Kisha nikarudi mitamboni
Yaani kama isack Newton vile
Ata id hizi zinacommet siziamini isijekuwa bado ni wewe 😁 maana huchelewi kuaribu, mi nami sijiamini isijekuwa mimi nae ni id yako😃😃[emoji16][emoji16][emoji16] Hivi huwa unapata muda wa kucheka na Mumeo kweli! Mbona uko siriazi kama kuruti wa kambi ya Manyaunyau?
Wanao nahisi wanaambulia mabao kila siku asubuhi. Hili ni tatizo la kutokuridhishwa kitandani, niamini. Kweli tena nakwambia
Niko pale naisubiri block
Wewe pia utakuta ni ID yake nyingine.Honestly mkuu the way uko proud inaonesha hauko sawa bado.
You need help seriously.🙏
Hata hapa kwa huu uzi i sense alot of your IDs zikisongesha uzi.
Kwa upendo tu kama binadamu mwenzio nakushauri punguza muda kuingia humu.
Hii ni addiction kama zingine na usipofanya kitu unaweza ishia vibaya.
🙏Please.
Inaonekana umejitenga na jamii na JF ndo sehemu pekee unasocialize.
Anza hata gym,kwaya,jogging,jumuiya,golf,tennis nk ukutane na real people.
Dah! Kuna ukweli hapa mkuu. Duh!Honestly mkuu the way uko proud inaonesha hauko sawa bado.
You need help seriously.[emoji120]
Hata hapa kwa huu uzi i sense alot of your IDs zikisongesha uzi.
Kwa upendo tu kama binadamu mwenzio nakushauri punguza muda kuingia humu.
Hii ni addiction kama zingine na usipofanya kitu unaweza ishia vibaya.
[emoji120]Please.
Inaonekana umejitenga na jamii na JF ndo sehemu pekee unasocialize.
Anza hata gym,kwaya,jogging,jumuiya,golf,tennis nk ukutane na real people.
Na mkeo na watoto walikufaidi saa ngapi mkuu.?Kwenye ulaji wa mbususu sikujisumbua sana, nilisukuma tako zangu mbili, wazungu haooo. Kisha nikarudi mitamboni
Yaani kama isack Newton vile
posipoWewe pia utakuta ni ID yake nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzi unatakiwa kupitia kila aina ya changamoto ili uwe faya fayaAta id hizi zinacommet siziamini isijekuwa bado ni wewe [emoji16] maana huchelewi kuaribu, mi nami sijiamini isijekuwa mimi nae ni id yako[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] Sio kweli mkuu. Kweli tena[emoji23][emoji23]Wewe pia utakuta ni ID yake nyingine.
Wakati nikiwa nauwasha moto jf, nikiona watu wanavyotapatapa kwa mashambulizi, hapo najikuta nikitabasamu na kufurahi kupita maekezo, ile furaha namuamishia mke pamoja na watoto. Utasikia, "Carlos, leo haunywi juisi nini? Chukua hiyo elfu mbili ukanunue".[emoji23]Na mkeo na watoto walikufaidi saa ngapi mkuu.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]posipo
Dunia inaenda Kasi sana. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Dah aiseh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Ndo ivyo mkuu, nilikuwa nawachora tu. Akileta ujuaji nampopoa kisha anani-ignore. Namtafuta kwa ID nyingine, tunacheka na kumsimanga ID yangu mwingine aliyempopoa mkuu. Ikiwezekana na mimi wa ID yenye huruma naungana na mkuu kumpopoa ID wangu mwingine. Maisha yanakwenda
ID ya kike ni kwa lengo la kuteka attention ya wana jf wengi pale ninapokuwa na muda wa ziada. Maake zinapata wachangiaji wengi pasi na kifani
Hapana mkuu, yaani nashangaa mtu anatafuta nini hasa hadi anakua na ID nyingi kiasi kile...😎 Nafikiri hii inaweza ikawa tatizo ya mental healthAu ulituma nauli kwa I'd ya roselyn mkuu?
Ukipata hiyo 10k kuna stimu fulan unakua unapata au inakua inakufaidishaje hadi uitesekee hivyo.?[emoji23][emoji23][emoji23]Uzi unatakiwa kupitia kila aina ya changamoto ili uwe faya faya
Bila hivyo, utamaliza wiki bila 10k views[emoji23]
Duuh, hii sikuijua. Asante mkuuMkuu, uwege unawasha VPN kabla ya kuunda account nyingine ya JF. Hakikisha unapo-log out and in kwa kubadili ID, VPN iwe active
Hahahah! kila nyanja yumo anahudumia tu. Sijaona akiwa mtumishi wa serikaliHahahaaa daah? Atal xan hiy sishangai ndomaisha halisi yawatanzania weng huko mitandaoni, mfano kunajamaa angu ana profiles zaidi15 kwenye mitandao tofauti tofaut..zipo ambaz ni freemason,mzee,singo mama,binti mrembo,tajiri mkubwa,maskin ombaomba,ruban wandege na mganga wakienyeji.