Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Kwenye ulaji wa mbususu sikujisumbua sana, nilisukuma tako zangu mbili, wazungu haooo. Kisha nikarudi mitamboni

Yaani kama isack Newton vile
Honestly mkuu the way uko proud inaonesha hauko sawa bado.
You need help seriously.🙏
Hata hapa kwa huu uzi i sense alot of your IDs zikisongesha uzi.
Kwa upendo tu kama binadamu mwenzio nakushauri punguza muda kuingia humu.
Hii ni addiction kama zingine na usipofanya kitu unaweza ishia vibaya.
🙏Please.
Inaonekana umejitenga na jamii na JF ndo sehemu pekee unasocialize.
Anza hata gym,kwaya,jogging,jumuiya,golf,tennis nk ukutane na real people.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Hivi huwa unapata muda wa kucheka na Mumeo kweli! Mbona uko siriazi kama kuruti wa kambi ya Manyaunyau?

Wanao nahisi wanaambulia mabao kila siku asubuhi. Hili ni tatizo la kutokuridhishwa kitandani, niamini. Kweli tena nakwambia

Niko pale naisubiri block
Ata id hizi zinacommet siziamini isijekuwa bado ni wewe 😁 maana huchelewi kuaribu, mi nami sijiamini isijekuwa mimi nae ni id yako😃😃
 
Honestly mkuu the way uko proud inaonesha hauko sawa bado.
You need help seriously.🙏
Hata hapa kwa huu uzi i sense alot of your IDs zikisongesha uzi.
Kwa upendo tu kama binadamu mwenzio nakushauri punguza muda kuingia humu.
Hii ni addiction kama zingine na usipofanya kitu unaweza ishia vibaya.
🙏Please.
Inaonekana umejitenga na jamii na JF ndo sehemu pekee unasocialize.
Anza hata gym,kwaya,jogging,jumuiya,golf,tennis nk ukutane na real people.
Wewe pia utakuta ni ID yake nyingine.
 
Honestly mkuu the way uko proud inaonesha hauko sawa bado.
You need help seriously.[emoji120]
Hata hapa kwa huu uzi i sense alot of your IDs zikisongesha uzi.
Kwa upendo tu kama binadamu mwenzio nakushauri punguza muda kuingia humu.
Hii ni addiction kama zingine na usipofanya kitu unaweza ishia vibaya.
[emoji120]Please.
Inaonekana umejitenga na jamii na JF ndo sehemu pekee unasocialize.
Anza hata gym,kwaya,jogging,jumuiya,golf,tennis nk ukutane na real people.
Dah! Kuna ukweli hapa mkuu. Duh!
 
Ata id hizi zinacommet siziamini isijekuwa bado ni wewe [emoji16] maana huchelewi kuaribu, mi nami sijiamini isijekuwa mimi nae ni id yako[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzi unatakiwa kupitia kila aina ya changamoto ili uwe faya faya

Bila hivyo, utamaliza wiki bila 10k views[emoji23]
 
Na mkeo na watoto walikufaidi saa ngapi mkuu.?
Wakati nikiwa nauwasha moto jf, nikiona watu wanavyotapatapa kwa mashambulizi, hapo najikuta nikitabasamu na kufurahi kupita maekezo, ile furaha namuamishia mke pamoja na watoto. Utasikia, "Carlos, leo haunywi juisi nini? Chukua hiyo elfu mbili ukanunue".[emoji23]
 
[emoji23][emoji23]Ndo ivyo mkuu, nilikuwa nawachora tu. Akileta ujuaji nampopoa kisha anani-ignore. Namtafuta kwa ID nyingine, tunacheka na kumsimanga ID yangu mwingine aliyempopoa mkuu. Ikiwezekana na mimi wa ID yenye huruma naungana na mkuu kumpopoa ID wangu mwingine. Maisha yanakwenda

ID ya kike ni kwa lengo la kuteka attention ya wana jf wengi pale ninapokuwa na muda wa ziada. Maake zinapata wachangiaji wengi pasi na kifani
Dah aiseh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzi unatakiwa kupitia kila aina ya changamoto ili uwe faya faya

Bila hivyo, utamaliza wiki bila 10k views[emoji23]
Ukipata hiyo 10k kuna stimu fulan unakua unapata au inakua inakufaidishaje hadi uitesekee hivyo.?
Mi nimerusha uzi jana na sijapata coment hata 10 but I dont give a frudge mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: 511
usikute waliohusika ktk huu uzi wote ni mtu mmoja kasoro mimi tu
 
Hahahaaa daah? Atal xan hiy sishangai ndomaisha halisi yawatanzania weng huko mitandaoni, mfano kunajamaa angu ana profiles zaidi15 kwenye mitandao tofauti tofaut..zipo ambaz ni freemason,mzee,singo mama,binti mrembo,tajiri mkubwa,maskin ombaomba,ruban wandege na mganga wakienyeji.
 
Hahahah! kila nyanja yumo anahudumia tu. Sijaona akiwa mtumishi wa serikali
 
Back
Top Bottom