Clepatina
JF-Expert Member
- Apr 8, 2023
- 1,266
- 2,577
Honestly mkuu the way uko proud inaonesha hauko sawa bado.Kwenye ulaji wa mbususu sikujisumbua sana, nilisukuma tako zangu mbili, wazungu haooo. Kisha nikarudi mitamboni
Yaani kama isack Newton vile
You need help seriously.🙏
Hata hapa kwa huu uzi i sense alot of your IDs zikisongesha uzi.
Kwa upendo tu kama binadamu mwenzio nakushauri punguza muda kuingia humu.
Hii ni addiction kama zingine na usipofanya kitu unaweza ishia vibaya.
🙏Please.
Inaonekana umejitenga na jamii na JF ndo sehemu pekee unasocialize.
Anza hata gym,kwaya,jogging,jumuiya,golf,tennis nk ukutane na real people.