Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Kwani kifo cha Membe ndiyo kimekushtua? 😄😄
 
Naona umekimbilia polisi
 
Nimecheka kaa fala mkuuu 😅😂😂😂😂😂
 
Naona umekimbilia polisi
Pumbavu peleka huko Ushahidi wako wa Uzushi ili nivuliwe Ushindi Uliokuuma na Unakuuma na kama hauna subiria Kifiatacho Kwako ili kiwe Fundisho kwa Wapumbavu Wenzako mnaofanana Kifikra na kwa Chuki Kwangu mtadhani labda nilikuwa Baba yenu wa Kambo na nimeachana na Mama zenu hivyo nyie Watoto mmewekeza Bifu na Mimi.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Hta hii toba sina Imani nayo inawezekana hizo 96 zilizobaki zinasogeza huu uzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawezi kuja tena. Huyo mwanamke nilimlaza chumbani na jiko la mkaa. Bila shaka keshatangulia mbele za haki

Alikula vya watu. Pia alikuwa hajibu PM zaidi ya tano za ID ambayo haimwagi mpunga[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Utanifananisha Mimi GENTAMYCINE ( Lionel Messi PSG FC France ) na Wewe Clement Mzize ( Yanga SC ) ya Kariakoo Jangwani Uswahilini Tanzania?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • JamiiForums The Home of the Great Thinkers!
  • Ndio maana kuna post za kipuuzi mpaka unawaza, je hii ameandika roboti au mtu? Kumbe nyingi ni nusu mtu roboti. So sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…