Shetta
JF-Expert Member
- Mar 15, 2023
- 445
- 797
HAHHAHAHAWe jamaa kwa visa hivi Aisee utakufa umechoka Sana.
Mimi suala la kuwa na ID mbili halijawahi kuniingia akilini, kwanza huwa naona Kama Ni utoto uliotukuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHHAHAHAWe jamaa kwa visa hivi Aisee utakufa umechoka Sana.
Mimi suala la kuwa na ID mbili halijawahi kuniingia akilini, kwanza huwa naona Kama Ni utoto uliotukuka.
Unajua Id Gan tulikosana wala sio hiyo. Haya tufanye yameisha mimi napenda amani. Mambo ya kuzinguana mitandaoni na hata hatujuani sio poa.Lakini si ulikosana na izo biz? Ninachojua mimi The Storyteller na wewe hatuna ugomvi wowote. Sisi sote tu wamoja
Kwani kifo cha Membe ndiyo kimekushtua? 😄😄Habari za wakati huu wakuu,
Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa mlio wengi mtachungulia kwa profile ili kuona lile neno "joined Nov 2022", JF nimeifahamu kwa zaidi ya miaka kadhaa iliyopita
Mbali na ID ya Melki the Storyteller ,pia nina ID mama ambayo sitoiweka wazi kwa miaka hii, japokuwa ni ID kubwa na pendwa ambayo inatema madini yenye mantiki na yenye kukubalika. Katika ID hiyo nimeishi maisha yasiyo halisi kwa 100% na hakuna mtu anaweza / ataweza shitukia. Niwashukuru kwa kuniheshimisha kupitia hiyo ID
Je, The Storyteller wetu ana IDs nyingine za ziada mbali na hizo mbili tajwa hapo juu?
Jibu ni HAPANA. Lakini kwa kipindi cha nyuma nimewahi kuwa nazo kadhaa. Ndani ya JamiiForums nimeishi maisha ya uzee, ujana, usomi, ushamba, utoto, michezo, uganga, siasa n.k
Sometimes niliunda uzi na kuanza kuchangia mwenyewe huku nikibishana na kujitukana kwa ID hii na kusuluhisha kwa ID nyingine, lengo ni kusogeza uzi na kuufanya uzi kupamba moto
Niwaombe mniwie radhi kwa utoto nilioufanya kipindi cha nyuma, lakini sina budi kuuweka wazi siku ya leo
a) izo biz Hii ilikuwa ID yangu pendwa niliyoikubali kupita maelezo. Sikuwahi pitwa na tukio nisilielezee ndani ya ID hii. Nilifanikiwa kuunda nyuzi nyingi sana zenye mantiki na zisizo na mantiki ndani ya ID hii. Nikiachana na ID hii baada ya kuona wanachama wameanza kuignore post zangu na kudhani huenda zikawa ni chai, kitu ambacho sio kweli
View attachment 2618355
ID za karan lutha na wamatukio zilishika hatamu baada ya ID ya izo biz kususwa. Karan Lutha alitumika kuleta visa "serious" na hoja za msingi ambazo zilihitaji utatuzi makinifu ambazo kama zingewekwa kwenye ID ya izo biz zingekuwa ignored
View attachment 2618358
ID ya Wamatukio ilikuwa ni maalumu kwa ajili ya Jokes na mikasa ya kuchekesha. Nahisi ni ID iliyokuwa pendwa kulinganishwa na izo biz ama karan lutha
View attachment 2618360
Tukiachilia mbali na IDs tajwa hapo juu, ID ya roselyn2 ilikuwa ni ID yangu pia. Hii niliitumia kwa ajili ya attention pamoja na changamsha kijiwe, japo kuna watu wachache walishtukia pasi na uhakikaView attachment 2618362
Baada ya kukomaa kifikra na kiakili, niliamua kuzichinjilia mbali ID hizi kwa namna ambayo ninaifahamu mimi i.e kwa IT ndogo niliyonayo kumkichwa
Nimeona ni vyema kuja kutubia makosa yangu hapa na kwa wakati huu. Kwa wale wote ambao niliwakwaza kupitia ID zangu, naombeni tusameheane na tuendeleze jukumu la kulijenga taifa
Narudi kwa ushuhuda zaidi...
[emoji120][emoji120][emoji120]Unajua Id Gan tulikosana wala sio hiyo. Haya tufanye yameisha mimi napenda amani. Mambo ya kuzinguana mitandaoni na hata hatujuani sio poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kifo cha Membe ndiyo kimekushtua? [emoji1][emoji1]
Naona umekimbilia polisiUongozi wa JamiiForums kuanzia JamiiForums Founder Maxence Melo na Moderators YinYang, Cookie na JamiiForums tafadhali nimechoka na hizi Shutuma hasa kutoka kwa huyu Member na nikiendelea Kunyamaza huu Uwomgo wake utaaminika.
Kwakuwa OKW BOBAN SUNZU ana uhakika kuwa zile IDs zote zilizonipigia Kura katika lile Shindano zote ni zangu Mimi GENTAMYCINE naomba ATHIBITISHE KWENU PASI NA SHAKA na nyie MKITHIBITISHA nawaombea siyo tu MNIVUE huo USHINDI bali nawaomba mnipe PERMANENT BAN hapa JamiiForums.
Na kama akishindwa KUTHIBITISHA kwa USHAHIDI alionao juu ya hizi TUHUMA zake na UZUSHI na KUNICHAFUA kama siyo KUNIDHALILISHA hapa JamiiForums naomba apewe ADHABU KALI ili iwe Fundisho kwa WAPUUZI na WAZUSHI Wengine wa Mfano wake.
Na bahati nzuri hapa hapa JamiiForums wapo Members wote WALIONIPIGIA KURA zao na Kuibuka MSHINDI hivyo naomba Wajitokeze waseme kama hizo IDs zao ni Mimi GENTAMYCINE au tumieni UTAALAM Wenu mkubwa wa IT Kuzihakiki hizo IDs zote ziizonipigia Kura ili muone kama zote ni zangu / nazimiliki Mimi.
Nimechoka na CHUKI zisizo na sababu na Mimi hapa JamiiForums na Watu kuwa na HUSUDA nami kwakuwa tu ni maarufu na nina Mvuto wa Kiusomwaji na Wengi na Kiuwasiliishaji wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums.
Inakera na haivumiliki
Nimecheka kaa fala mkuuu 😅😂😂😂😂😂Attention seeking disorder.
Kuna mwingine yule jamaa wa matusi Gentamycine,pia Kuna mkulungwa/zee korofi.
Hawa watu wanasumbuliwa na;
1.Bipolar
2.Oestrogen homones (mwanaume aliyetimia hawezi kufanya huu upuuzi). Imagine mtu Kama Ushimen anauingia mkenge wa kutongoza I'd ya roselyn Kumbe Ni kijamaa kina makende.
3.Malezi mabovu..Mtu aliyelelewa vizuri na wazazi hawezi kuwatukana wenzie bila sababu za msingi Ili tu kuwasababishia ban Kama wafanyavyo hawa watu.
Utagundua watu wenye IDs nyingi ni watu wenye matusi Sana na hawana adabu Wala hekima kwa members wenzao.
Hawa watu wanatakiwa wachukuliwe hatua Kali sana maana mtu kuwa na IDs nyingi ana uwezekano mkubwa wa kuwatapeli watu humu ndani.
Pumbavu peleka huko Ushahidi wako wa Uzushi ili nivuliwe Ushindi Uliokuuma na Unakuuma na kama hauna subiria Kifiatacho Kwako ili kiwe Fundisho kwa Wapumbavu Wenzako mnaofanana Kifikra na kwa Chuki Kwangu mtadhani labda nilikuwa Baba yenu wa Kambo na nimeachana na Mama zenu hivyo nyie Watoto mmewekeza Bifu na Mimi.Naona umekimbilia polisi
Kawaida yake hiyoNaona umekimbilia polisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo waliokutongoza kwa Id hiyo ya rose ulikua ubawakubalia au [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We acha tu mkuu! "No Woman, no cry". Hapo ndipo nilipoamini kwanini Adam alirubuniwa kula tunda akakubali. Wanaume tu wadhaifu, tujipige kifuani mara tatu na tuseme Mola atusaidie
Watu walipasuka asikwambie mtu! Full miamala, kama Zuwena vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili ni fundisho kubwa mno kwa wale tongoza tongoza[emoji23][emoji23].
Mara pap To yeye anakuja kukiri kuwa ni kidume kimoja kifupi na kakitambi kama Pierre Liquid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (jokes).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawezi kuja tena. Huyo mwanamke nilimlaza chumbani na jiko la mkaa. Bila shaka keshatangulia mbele za haki
Alikula vya watu. Pia alikuwa hajibu PM zaidi ya tano za ID ambayo haimwagi mpunga[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana huwa siwaamini sana hawa wanaoweka picha za mapaja, lips,vimdoli na videmu vya ki Asia kwenye I'd zao, wengi ni masela
Ukijichanganya na tamaa za kiwaki unatapeliwa chap tu.
Au ukibahatisha akawa dem wa kweli basi ile picha uliyojijengea kichwan kuwa atakua Dem wa dizain hii atakushangaza unaweza kukutana na mmama analingana na shangazi yako ila hapa jf ana behave kama kabinti kasiko na hatia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23] Hapa ningekuwa na ID zangu za kazi. Karan lutha angeanza kukupopoa. Halafu izo biz angeungana na wewe kujibu mashambulizi
Wamatukio angekuwa analiamsha tu pale anapoona kama mnaenda kujisahaulisha
Roselyn2 angewapatanisha PM, kisha muanze kumtongoza. Na kila mtu angesindikiza muamala, mmoja muamala sahihi, mwingine muamala wa mchongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utanifananisha Mimi GENTAMYCINE ( Lionel Messi PSG FC France ) na Wewe Clement Mzize ( Yanga SC ) ya Kariakoo Jangwani Uswahilini Tanzania?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Moderator huyu mtu atanisababishia ban kwa Mara ya kwanza. Mimi sijamtukana Wala kumtajia mama yake huyu mtu.Hata na Mama yako Mzazi nae ana Matatizo haya haya unayedai Mimi ninayo.