Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23]We acha tu mkuu! "No Woman, no cry". Hapo ndipo nilipoamini kwanini Adam alirubuniwa kula tunda akakubali. Wanaume tu wadhaifu, tujipige kifuani mara tatu na tuseme Mola atusaidie

Watu walipasuka asikwambie mtu! Full miamala, kama Zuwena vile
Kwahiyo ulikula hela za wanaume wenzako 😀😀
 
Du! wana JF tutafika mbinguni tumechoka sana,kwahio unaanzisha mada,unabishana nayo kwa ID nyingine halafu mtu anakuunga mkono kumbe wewe unamchora tu

Halafu hii ya kujifanya mwanamke lengo inakuwa nini?
[emoji23][emoji23]Ndo ivyo mkuu, nilikuwa nawachora tu. Akileta ujuaji nampopoa kisha anani-ignore. Namtafuta kwa ID nyingine, tunacheka na kumsimanga ID yangu mwingine aliyempopoa mkuu. Ikiwezekana na mimi wa ID yenye huruma naungana na mkuu kumpopoa ID wangu mwingine. Maisha yanakwenda

ID ya kike ni kwa lengo la kuteka attention ya wana jf wengi pale ninapokuwa na muda wa ziada. Maake zinapata wachangiaji wengi pasi na kifani
 
Attention seeking disorder.

Kuna mwingine yule jamaa wa matusi Gentamycine,pia Kuna mkulungwa/zee korofi.

Hawa watu wanasumbuliwa na;

1.Bipolar

2.Oestrogen homones (mwanaume aliyetimia hawezi kufanya huu upuuzi). Imagine mtu Kama Ushimen anauingia mkenge wa kutongoza I'd ya roselyn Kumbe Ni kijamaa kina makende.

3.Malezi mabovu..Mtu aliyelelewa vizuri na wazazi hawezi kuwatukana wenzie bila sababu za msingi Ili tu kuwasababishia ban Kama wafanyavyo hawa watu.

Utagundua watu wenye IDs nyingi ni watu wenye matusi Sana na hawana adabu Wala hekima kwa members wenzao.

Hawa watu wanatakiwa wachukuliwe hatua Kali sana maana mtu kuwa na IDs nyingi ana uwezekano mkubwa wa kuwatapeli watu humu ndani.
Na ndio maana nimekuja tena kuomba radhi. Tusameheane tu wakuu maisha yaendelee. Kwa wale mliopasuka, Mola awabariki[emoji23][emoji23]
 
We jamaa kwa visa hivi Aisee utakufa umechoka Sana.

Mimi suala la kuwa na ID mbili halijawahi kuniingia akilini, kwanza huwa naona Kama Ni utoto uliotukuka.
Ila kuna raha yake mkuu. Ukijaribu huwezi kuacha, utajikuta una list ya IDs mpaka ushangae

Haina utofauti na wale wala tigo, ukijaribu ndo umekwenda na maji

Ila mimi nimekiri kosa na siwezi kurudia huu utoto
 
Ndo maana huwa siwaamini sana hawa wanaoweka picha za mapaja, lips,vimdoli na videmu vya ki Asia kwenye I'd zao, wengi ni masela
Ukijichanganya na tamaa za kiwaki unatapeliwa chap tu.

Au ukibahatisha akawa dem wa kweli basi ile picha uliyojijengea kichwan kuwa atakua Dem wa dizain hii atakushangaza unaweza kukutana na mmama analingana na shangazi yako ila hapa jf ana behave kama kabinti kasiko na hatia
 
Back
Top Bottom