Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Hatariii sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ulikula hela za wanaume wenzako 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]We acha tu mkuu! "No Woman, no cry". Hapo ndipo nilipoamini kwanini Adam alirubuniwa kula tunda akakubali. Wanaume tu wadhaifu, tujipige kifuani mara tatu na tuseme Mola atusaidie
Watu walipasuka asikwambie mtu! Full miamala, kama Zuwena vile
Yaliyopita si ndwele mkuu. Lakini ni vyema kuchukua tahadhari mkuu. Sio IDs za kike humu ni za wanawake, wengine ni majibaba na midevu yaoAiseeee.....[emoji848]
Mdomo wangu umebaki wazi....[emoji87]
🤣🤣Kwahiyo waliokutongoza kwa Id hiyo ya rose ulikua ubawakubalia au 😂😂
[emoji23][emoji23]Ndo ivyo mkuu, nilikuwa nawachora tu. Akileta ujuaji nampopoa kisha anani-ignore. Namtafuta kwa ID nyingine, tunacheka na kumsimanga ID yangu mwingine aliyempopoa mkuu. Ikiwezekana na mimi wa ID yenye huruma naungana na mkuu kumpopoa ID wangu mwingine. Maisha yanakwendaDu! wana JF tutafika mbinguni tumechoka sana,kwahio unaanzisha mada,unabishana nayo kwa ID nyingine halafu mtu anakuunga mkono kumbe wewe unamchora tu
Halafu hii ya kujifanya mwanamke lengo inakuwa nini?
Hawezi kuja tena. Huyo mwanamke nilimlaza chumbani na jiko la mkaa. Bila shaka keshatangulia mbele za haki
Na ndio maana nimekuja tena kuomba radhi. Tusameheane tu wakuu maisha yaendelee. Kwa wale mliopasuka, Mola awabariki[emoji23][emoji23]Attention seeking disorder.
Kuna mwingine yule jamaa wa matusi Gentamycine,pia Kuna mkulungwa/zee korofi.
Hawa watu wanasumbuliwa na;
1.Bipolar
2.Oestrogen homones (mwanaume aliyetimia hawezi kufanya huu upuuzi). Imagine mtu Kama Ushimen anauingia mkenge wa kutongoza I'd ya roselyn Kumbe Ni kijamaa kina makende.
3.Malezi mabovu..Mtu aliyelelewa vizuri na wazazi hawezi kuwatukana wenzie bila sababu za msingi Ili tu kuwasababishia ban Kama wafanyavyo hawa watu.
Utagundua watu wenye IDs nyingi ni watu wenye matusi Sana na hawana adabu Wala hekima kwa members wenzao.
Hawa watu wanatakiwa wachukuliwe hatua Kali sana maana mtu kuwa na IDs nyingi ana uwezekano mkubwa wa kuwatapeli watu humu ndani.
Mkuu, uwege unawasha VPN kabla ya kuunda account nyingine ya JF. Hakikisha unapo-log out and in kwa kubadili ID, VPN iwe activeHapa kuna upendeleo, mimi nikiunda ID nyingine tu zinaungwa. Lakini kina Genta wana ID zaidi ya 80 wameachwa tu
Mkuu GENTAMYCINE ,kuna watu wanakupopoa huku muheshimiwa[emoji23]Kulikuwa na shidano la member bora jukwaa la sports. Ndipo Gentramycin akaibua ID zote mafichoni. Akajipigia kura akashinda
Nilitumia simu ya mke wangu, za kwangu mbili na PC. Kwa hiyi uzi ulikuwa unadispalay sehemu zote nne. Na hiyo ikawa ni sehemu ya refresh yangu ya kila sikuMkuu hizo id zote ulikuwa una log in una log out hiko hiko kifaa kimoja mbona ni kazi sana mi ata siwezi asee
Ili watu wasikuchoke pale wanapoona ID yako inaongoza kwa nyuzi. Haina utofauti na kubadili mbususuHivi lengo la kuwa na Ids kibao ni nini? Kuna faida yoyote mnapata? Hayo ni matatizo ya akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@kidukulilo sio Ya kwako pia?? Sijaona Nyuzi zake kitambo.
Ila kuna raha yake mkuu. Ukijaribu huwezi kuacha, utajikuta una list ya IDs mpaka ushangaeWe jamaa kwa visa hivi Aisee utakufa umechoka Sana.
Mimi suala la kuwa na ID mbili halijawahi kuniingia akilini, kwanza huwa naona Kama Ni utoto uliotukuka.
Mtu akisindikiza muamala, ndipo aliitwa Baby ya Mchongo[emoji23]Kwahio ulikuwa unaita watu baby humu kwa Id ya kike?@roselyn2?