Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

[emoji16][emoji16][emoji16] Hivi huwa unapata muda wa kucheka na Mumeo kweli! Mbona uko siriazi kama kuruti wa kambi ya Manyaunyau?

Wanao nahisi wanaambulia mabao kila siku asubuhi. Hili ni tatizo la kutokuridhishwa kitandani, niamini. Kweli tena nakwambia

Niko pale naisubiri block

Hahaa umeanza sasa mambo yako yale yale yaliyosababisha tukosane kipindi kile. Tukishindwana mahala huwa unakimbilia kuanza kunitukana mambo yanayohusu maisha yangu binafsi na cha kufurahisha zaidi huna unalolijua kuhusu mimi. Si kwa ubaya lkn upo na matatizo makubwa rafiki fanyia kazi hilo. Mm niko na amani zangu tele samahani kama kuna sehemu nimekukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa na shidano la member bora jukwaa la sports. Ndipo Gentramycin akaibua ID zote mafichoni. Akajipigia kura akashinda
Uongozi wa JamiiForums kuanzia JamiiForums Founder Maxence Melo na Moderators YinYang, Cookie na JamiiForums tafadhali nimechoka na hizi Shutuma hasa kutoka kwa huyu Member na nikiendelea Kunyamaza huu Uwomgo wake utaaminika.

Kwakuwa OKW BOBAN SUNZU ana uhakika kuwa zile IDs zote zilizonipigia Kura katika lile Shindano zote ni zangu Mimi GENTAMYCINE naomba ATHIBITISHE KWENU PASI NA SHAKA na nyie MKITHIBITISHA nawaombea siyo tu MNIVUE huo USHINDI bali nawaomba mnipe PERMANENT BAN hapa JamiiForums.

Na kama akishindwa KUTHIBITISHA kwa USHAHIDI alionao juu ya hizi TUHUMA zake na UZUSHI na KUNICHAFUA kama siyo KUNIDHALILISHA hapa JamiiForums naomba apewe ADHABU KALI ili iwe Fundisho kwa WAPUUZI na WAZUSHI Wengine wa Mfano wake.

Na bahati nzuri hapa hapa JamiiForums wapo Members wote WALIONIPIGIA KURA zao na Kuibuka MSHINDI hivyo naomba Wajitokeze waseme kama hizo IDs zao ni Mimi GENTAMYCINE au tumieni UTAALAM Wenu mkubwa wa IT Kuzihakiki hizo IDs zote ziizonipigia Kura ili muone kama zote ni zangu / nazimiliki Mimi.

Nimechoka na CHUKI zisizo na sababu na Mimi hapa JamiiForums na Watu kuwa na HUSUDA nami kwakuwa tu ni maarufu na nina Mvuto wa Kiusomwaji na Wengi na Kiuwasiliishaji wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums.

Inakera na haivumiliki
 
Aisee Melki the storyteller againi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ukipata hiyo 10k kuna stimu fulan unakua unapata au inakua inakufaidishaje hadi uitesekee hivyo.?
Mi nimerusha uzi jana na sijapata coment hata 10 but I dont give a frudge mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Umaarufu tu, yaani watu wakiona uzi wako kwa hewa, wanakuja mbio kama farasi kuchungulia umeleta nini
 
Hahahaaa daah? Atal xan hiy sishangai ndomaisha halisi yawatanzania weng huko mitandaoni, mfano kunajamaa angu ana profiles zaidi15 kwenye mitandao tofauti tofaut..zipo ambaz ni freemason,mzee,singo mama,binti mrembo,tajiri mkubwa,maskin ombaomba,ruban wandege na mganga wakienyeji.
Mimi binafsi napenda maisha ya namna hiyo. Nisiwe mtu wa kueleweka. Hata majirani zangu hudhani uenda mimi ni hakimu, wengine wanajua mimi ni usalama, wengine wanadhani mimi ni traffic officer

Humu JF kuna watu hudhani kuwa nafanya kazi ofisi ya Rais
 
Ulipokuwa unaachana na ID flani, ulikumbuka kuwapa taarifa Moderator ili wazifute kupunguza mzigo kwenye 'seva' yetu?
Huwa hawafuti. Wanakwambia "Akiba haiozi". Labda kama nyuzi zote ni uozo, lakini ukipatikana hata mmoja wenye haki, kamwe ID haiwezi kupotezwa

Pongezi kwao
 
Ukipata hiyo 10k kuna stimu fulan unakua unapata au inakua inakufaidishaje hadi uitesekee hivyo.?
Mi nimerusha uzi jana na sijapata coment hata 10 but I dont give a frudge mkuu!
Kwa uzoefu wangu hapa JF, unaweza kuta na wewe ni Mwanaume ila ID ya Kike.
 
Hahaa umeanza sasa mambo yako yale yale yaliyosababisha tukosane kipindi kile. Tukishindwana mahala huwa unakimbilia kuanza kunitukana mambo yanayohusu maisha yangu binafsi na cha kufurahisha zaidi huna unalolijua kuhusu mimi. Si kwa ubaya lkn upo na matatizo makubwa rafiki fanyia kazi hilo. Mm niko na amani zangu tele samahani kama kuna sehemu nimekukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si ulikosana na izo biz? Ninachojua mimi The Storyteller na wewe hatuna ugomvi wowote. Sisi sote tu wamoja
 
hilo neno "sio wote. Japo wamo wa kushanta" ina maana bado unajitekenya na kucheka tu wakati unatubu..!!


Ama kweli, ngoja tu tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini.
Hapana mkuu[emoji23][emoji23] Zote nitazikiri hapa hapa kwenye huu uzi. Nimeamua kutubu dhambi hii kwa moyo mmoja
 
Back
Top Bottom