GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni Mwenyezi Mungu tu pekee atusaidie hiyo Kesho Simba SC tuifunge Dodoma Jiji FC Kwao Jamhuri Mkoani Dodoma ila kwa Kinachoendelea Ushindi wa Simba SC Kesho utakuwa ni wa taabu mno, ila naona Mechi itamalizoka kwa Simba SC kutoka Sare / Suluhu japo nauona pia Uwezekano wa Kufungwa kutokana na Hamasa kubwa inayokuwepo kwa Dodoma Jiji FC wakicheza na Simba SC na pia kuwa ni Tawi la Yanga SC ambaye ni Hasimu Wetu mkubwa.
Nilijua tu mapema kuwa Timu ikiwa katika Uchaguzi Mkuu kuna Hujuma na Usaliti mwingi utajitokeza ilimradi tu kila Mgombea na Kundi lake waonekane wana maana na Wengine waonekane hawajui na ndiyo wanaiharibu Timu yetu.
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa takribani Wachezaji 8 hadi 12 ( tena wa Kikosi cha Kwanza ) cha Simba SC wanaumwa na Kesho hawatocheza.
Nina wasiwasi sana tu hiyo Kesho!!!!