Huenda ule Mkakati Maalum wa Simba SC kuachwa rasmi na Yanga SC kwa Alama 9 au 10 ukakamika Kesho huko Dodoma

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni Mwenyezi Mungu tu pekee atusaidie hiyo Kesho Simba SC tuifunge Dodoma Jiji FC Kwao Jamhuri Mkoani Dodoma ila kwa Kinachoendelea Ushindi wa Simba SC Kesho utakuwa ni wa taabu mno, ila naona Mechi itamalizoka kwa Simba SC kutoka Sare / Suluhu japo nauona pia Uwezekano wa Kufungwa kutokana na Hamasa kubwa inayokuwepo kwa Dodoma Jiji FC wakicheza na Simba SC na pia kuwa ni Tawi la Yanga SC ambaye ni Hasimu Wetu mkubwa.

Nilijua tu mapema kuwa Timu ikiwa katika Uchaguzi Mkuu kuna Hujuma na Usaliti mwingi utajitokeza ilimradi tu kila Mgombea na Kundi lake waonekane wana maana na Wengine waonekane hawajui na ndiyo wanaiharibu Timu yetu.

GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa takribani Wachezaji 8 hadi 12 ( tena wa Kikosi cha Kwanza ) cha Simba SC wanaumwa na Kesho hawatocheza.

Nina wasiwasi sana tu hiyo Kesho!!!!
 
Kwani mechi mlizocheza kabla ya huo uchaguzi mlishinda zote mpaka kusema iyo kesho msipopata ushindi ni sababu ya figisu za uchaguzi? Ifike hatua simba mkubali tu yanga ana kikosi bora na imara ambacho kinaweza kushinda katika mazingira yoyote iwe wamecheza vibaya au vizuri kwa siku iyo na iyo iwape shauku ya kuboresha timu yenu. Haya mambo ya kutengeneza propaganda kujipa relief ya moyo haitawasaidia. Timu yenu haina muendelezo wa falsafa kwa sababu mnabadilisha makocha kwa muda mfupi na kila kocha anakuja na falsasa yake yaani anaanza moja, kitengo cha skauti kimepoteza ufanisi kwa miaka miwili mfululizo mmekua mkisajiri wachezaji wengi ambao hawaleti impact yoyote kwenye timu.. haya ndio mambo ambayo mlitakiwa kuyapigia kelele sio huo utoto wa bahasha, figisu, kuvaa jezi nyeusi n.k
 
Ni Mwenyezi Mungu tu pekee atusaidie hiyo Kesho Simba SC tuifunge Dodoma Jiji FC Kwao Jamhuri Mkoani Dodoma ila kwa Kinachoendelea Ushindi wa Simba SC Kesho utakuwa ni wa taabu mno, ila naona Mechi itamalizoka kwa Simba SC kutoka Sare / Suluhu japo nauona pia Uwezekano wa Kufungwa kutokana na Hamasa kubwa inayokuwepo kwa Dodoma Jiji FC wakicheza na Simba SC na pia kuwa ni Tawi la Yanga SC ambaye ni Hasimu Wetu mkubwa.

Nilijua tu mapema kuwa Timu ikiwa katika Uchaguzi Mkuu kuna Hujuma na Usaliti mwingi utajitokeza ilimradi tu kila Mgombea na Kundi lake waonekane wana maana na Wengine waonekane hawajui na ndiyo wanaiharibu Timu yetu.

GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa takribani Wachezaji 8 hadi 12 ( tena wa Kikosi cha Kwanza ) cha Simba SC wanaumwa na Kesho hawatocheza.

Nina wasiwasi sana tu hiyo Kesho!!!!
Wewe ni mtu wa kwanza kwa majungu,nadhani utafurahia matokeo ya kocha mpya kipenzi chenu mnaowachukia wazawa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Izo points 10 mbona chache sana mkuu??maana mtafungwa na Azam fc, mta droo na mtibwa, mta droo na Namungo, mtafungwa na Yanga na mtatoa droo na singida big Stars.
Ukipiga hesabu hapo mtaachwa points km 20+hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa bana hakika bado unasafari ndefu sanakwenye utoaji wa mada zako.

Umekaa kishari sana

Unafahamu Chelsea ina majeruhi wangapi au unadhani mchezaji ni kama roboti au anatumia mafuta.

Juzi tumeshuhudia Yanga akipelekwa puta na Ihefu kwa kukosekana wachezaji wake muhimu so nazo ni hujuma.

Yanga akifungwa na Ihefu its ok but Simba akifungwa/akidroo na Dodoma jiji ni Hujuma

Ili mpira wetu ukue ni lazima timu yoyote iwe na uhakika wa kupata matokeo dhidi ya timu kubwa.

Nashangaa sana jamaa wanaovutiwa na habari zako za kichoganishi na uwongo uwongo mwingi.

Take easy kaka mkubwa
 
Back
Top Bottom