Huenda ule Mkakati Maalum wa Simba SC kuachwa rasmi na Yanga SC kwa Alama 9 au 10 ukakamika Kesho huko Dodoma

Jana nilikuona maeneo ni mchepuko wako yule muuza bar pale kawe Eliza
Watu wengi hapa JamiiForums mnajifanya mnanijua sana GENTAMYCINE wakati kumbe Kiuhalisia huwa mnabahatisha tu na ndiyo maana huwa nawadharau na kuwaita Wapuuzi halafu mnakasirika. Pole na Poleni mno.
 
Kweli Simba itafungwa leo. Lakini hili halitokani na hujuma wa Dodoma kuwa tawi la Yanga. Simba itafungwa kutokana na fatigue kwa wachezaji. Yanga katika mapinduzi cup iliwapa mapunziko key players wake na angalau kama wanaanza upya.

Wachezaji siyo maroboti sasa Simba pamoja uchovi haijapunzisha wachezaji wake mara walivyotoka mapinduzi cup ilipaswa angalau wapumzike mbadala wake wakaenda Dubai na wachezaji kupewa zoezi la kufa mtu. Hizi kadi na kuumwa kwa wachezaji ukiangalia kunachangiwa sana na fatigue waliyonayo.
 
Mpira unadunda
 
Izo points 10 mbona chache sana mkuu??maana mtafungwa na Azam fc, mta droo na mtibwa, mta droo na Namungo, mtafungwa na Yanga na mtatoa droo na singida big Stars.
Ukipiga hesabu hapo mtaachwa points km 20+hivi
Mashabiki wa yanga mna ushamba sana sjui kwanini?alokwambia mpira uko hivyo nani?
 
Simba itafungwa leo. Lakini hili halitokani na hujuma wa Dodoma kuwa tawi la Yanga. Simba itafungwa kutokana na fatigue kwa wachezaji. Yanga katika mapinduzi cup iliwapa mapunziko key players wake na angalau kama wanaanza upya.
Hatujafungwa Sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…