Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Wapuuzi wengi GENTAMYCINE nikiwa BANNED ndiyo Vipato vyenu vinaongezeka na Umasikini kutoweka?Oyaa mpopoe popoma ili apate ban tunywe bia mzee
Watu wengi hapa JamiiForums mnajifanya mnanijua sana GENTAMYCINE wakati kumbe Kiuhalisia huwa mnabahatisha tu na ndiyo maana huwa nawadharau na kuwaita Wapuuzi halafu mnakasirika. Pole na Poleni mno.Jana nilikuona maeneo ni mchepuko wako yule muuza bar pale kawe Eliza
kuna jamaa anaitwa OKW BOBAN SUNZU alisahau kumeza methardone zake alizopewa mirembe akaanzisha ile thread ya kidwanzi ya kumlinganisha mayele na kibu dengaTuna imani na kibu wetu
HahaKama tu akiacha Kuvuta Bangi nyingi.
🤣🤣
Kweli Simba itafungwa leo. Lakini hili halitokani na hujuma wa Dodoma kuwa tawi la Yanga. Simba itafungwa kutokana na fatigue kwa wachezaji. Yanga katika mapinduzi cup iliwapa mapunziko key players wake na angalau kama wanaanza upya.GENTAMYCINE ni Msemakweli na sina Unafiki na Upuuzi kama mlionao wana Simba SC wengi.
Nasisitiza Simba SC tukishinda leo nitafurahi ila Kiufundi, Kukosekana kwa Key Players wetu na jinsi Dodoma Jiji FC ( Yanga SC B ) ambavyo huwa Wanacheza Kikatili ( kwa Fujo ) wakikutana na Simba SC naiona hii Mechi kuwa Ngumu mno Kwetu na huenda hata Ushindi wetu leo ukawa ni wa Sare au Suluhu na tukizubaa hata Kufungwa nao leo Kunawezekana pia.
Tatizo lenu Kubwa wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums huwa mnapenda Kukurupuka pale tu GENTAMYCINE nikiandika Jambo ila huwa hamtaki Kuchukua muda wenu Kutulia, Kutafakari na Kunielewa.
Badilikeni.
Mimi simo 🤗Oyaa mpopoe popoma ili apate ban tunywe bia mzee
Mpira unadundaNi Mwenyezi Mungu tu pekee atusaidie hiyo Kesho Simba SC tuifunge Dodoma Jiji FC Kwao Jamhuri Mkoani Dodoma ila kwa Kinachoendelea Ushindi wa Simba SC Kesho utakuwa ni wa taabu mno, ila naona Mechi itamalizoka kwa Simba SC kutoka Sare / Suluhu japo nauona pia Uwezekano wa Kufungwa kutokana na Hamasa kubwa inayokuwepo kwa Dodoma Jiji FC wakicheza na Simba SC na pia kuwa ni Tawi la Yanga SC ambaye ni Hasimu Wetu mkubwa.
Nilijua tu mapema kuwa Timu ikiwa katika Uchaguzi Mkuu kuna Hujuma na Usaliti mwingi utajitokeza ilimradi tu kila Mgombea na Kundi lake waonekane wana maana na Wengine waonekane hawajui na ndiyo wanaiharibu Timu yetu.
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa takribani Wachezaji 8 hadi 12 ( tena wa Kikosi cha Kwanza ) cha Simba SC wanaumwa na Kesho hawatocheza.
Nina wasiwasi sana tu hiyo Kesho!!!!
Mashabiki wa yanga mna ushamba sana sjui kwanini?alokwambia mpira uko hivyo nani?Izo points 10 mbona chache sana mkuu??maana mtafungwa na Azam fc, mta droo na mtibwa, mta droo na Namungo, mtafungwa na Yanga na mtatoa droo na singida big Stars.
Ukipiga hesabu hapo mtaachwa points km 20+hivi
We pia ni mshamba sanaMashabiki wa yanga mna ushamba sana sjui kwanini?alokwambia mpira uko hivyo nani?
Halafu umfunge Dodoma Jiji FC leo?
Rubbish and Nonsensical.expand...
Hatujafungwa Sasa..Simba itafungwa leo. Lakini hili halitokani na hujuma wa Dodoma kuwa tawi la Yanga. Simba itafungwa kutokana na fatigue kwa wachezaji. Yanga katika mapinduzi cup iliwapa mapunziko key players wake na angalau kama wanaanza upya.
Sio shabiki wa simbaMbona mawazo yako huwa ni negative kwa Simba?
Tuanzie hapo
Nadhani saizi umetuliza Kipwinto unakula zako mihogo...Chama pia kabaki Dar. Mtaita maji MA