Huenda Uongozi mpya wa CHADEMA unahujumiwa

Huenda Uongozi mpya wa CHADEMA unahujumiwa

Leo utaleta nyuzi ngapi kuhusu cdm ili upate wachangiaji wengi? Maana ukileta za CCM , ACT, TLP nk hazipati wachangiaji wengi.
kama huna hoja kaa tu kimya gentleman,
hakuna haja ya kujaribu kuchepusha mjadala hata kidogo :NoGodNo:
 
Dhambi ya kumpora chama cha urithi Sultani Mbowe itamtafuna sana Mnyampaa na genge lake. WanaCCM tuliahakuwa marafiki wa CHADEMA chini ya jabali la siasa za upinzani Sultani Mbowe ila Mnyampaa na genge lake wakauvunja urafiki. Jana wamemkaribisha hadi chumbani mwanaCCM Slaa anayeitunza kadi yake ya CCM kama mboni ya jicho lake. Wasije kulalamika baadae.
umewapa angalizo mujarabu sana gentleman,
mwenye maskio na asikie,

wakishupaza shingo wasije na mayowe tena dhidi ya mzee huyo msaliti anaeteswa na laana ya kanisa na familia yake:NoGodNo:
 
Mtaalamu ulitaka mambo yaende vipi?Umefanya tathimini kuhusu kujiandikisha muamko ukoje? Hauni no reform No Election impact inaonekana?
ilisemekana katiba ya chadema ni mbovu na mabaya sana, vipi imerekebishwa?

maana kwenye kampeni za uchaguzi wa ndani ya chadema , hili ndilo lilionekana kipaumbele,
Je, halina haja tena au sasa?:NoGodNo:
 
Ukiona adui anakuwa rafiki yako jua kuna sehemu amekukamata,lakini ukiona adui analalamika ujue kimemwingia mpaka ndani,shikilia hapohapo,Maccm imewaingia
sian hakika ikiwa umeelewa hoja mahususi mezani,

ila nashukuru kwa mchango wako:NoGodNo:
 
Dua ya kuku haimpati mwewe! Mtangoja sana, Chadema mpya ni moto wa kuotea mbali! Si mnaona wakina Tlaatlaa wanavyohangaika humu na cheap propaganda? Yote kwa sababu ya mchecheto wa Chadema mpya.
asante kwa mchango wako gentleman,
licha ya kwamba nadhani hujaelewa vyema hoja rahisi sana mezani:NoGodNo:
 
Weww kinakuuma nini. Si ndio ilitakiwa ufurahi? Maana kama kuhujumu vyama, hiyo ndio njia yenu ccm kwa vyama vyote siku zoote
Gentleman,
hakuna haja wala sababu hata moja kwa mdau yeyote wa JF katika siasa kufurahi au kuumia kwenye mijadala muhimu ya masuala haya ya kitaalamu humu jukwaani.

hata hivyo,
ikiwa huna hoja au hujaelewa mada mahususi mezani, ni busara kukaa kimya tu:NoGodNo:
 
Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.

no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi waandamizi wa chadema yenyewe.

mchongo pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone kitaifa umekgomewa na wanaChadema, mpaka wameamuua kuzifuata hizo pesa za tone tone mikoni kwa wanaChadema w chini kabisaa.

Kuponya majeraha ya baada ya uchaguzi na kuwaleta pamoja wanachama wa chadema walioshindwa na kushinda nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho imeonekana hali

Eti kumrejesha chadema, babu kizee wa siasa za Tanzania, bingwa wa usaliti kwa tamaa, zee la kupora wake za watu ndio imeonekana fanikio kuuuubwa chini ya uongozi mpya wa Chadema taifa, really?.

au ndugu mdau,
una irate vipi chadema hii chini ya uongozi mpya wa kitaifa, ni kukosa maono au kuna hujuma zitaendelea?🐒

Mungu Ibariki Tanzania


Wako busy kununua Ebola na HIV
 
Ukiwa mtu uliyekosa akili ukabakiwa na unafiki tupu, akili ya kuona mabadiliko au maendeleo unaiokota wapi!!

Endelea kuandika huu ujinga ujinga alimradi unakusaidia kupata angalao ugali kwa dagaa. Ukiwa maskini wa akili, mwisho waje unaishia kama hivi ulivyo!!

Wenye akili timamu wataendelea kuipambania Tanzania bila ya kupoteza muda kuwafikiria punguani wanafiki walioamua kuwa chawa, maana chawa punguani mnafiki huwa hana madhara yoyote, kwani yeye anacholenga ni kutupiwa chochote ili ajaze tumbo.

Pole sana, wazazi, na nduguzo wameishia kwenye hii hasara. Lakini kwa vile hawakupenda wampate mtoto au ndugu punguani, basi tunawapa pole.
kama kuna mambo yanaelekea kwenye mafanikio chini ya uongozi mpya si uwaeleze wadua wa JF bila mihemko gentleman?

hakuna haja ya kumbwelambwela na kutweza utu wa wadau wa JF,
huna hoja kaa kimya tu, na huo ndio ungwana wa wadau wa siasa wa JF:NoGodNo:
 
Leo utaleta nyuzi ngapi kuhusu cdm ili upate wachangiaji wengi? Maana ukileta za CCM , ACT, TLP nk hazipati wachangiaji wengi.

Na analipwa kutokana na idadi ya watu waliochangia
 
Na analipwa kutokana na idadi ya watu waliochangia
pwagu na pwaguzi mkikosa hoja kaeni kimya tu wala hakuna haja ya kupotoshana na kuepeana moyo kwa kutokua na mawazao mbadala,

sawa?
msisumbue wadau tena? :NoGodNo:
 
ilisemekana katiba ya chadema ni mbovu na mabaya sana, vipi imerekebishwa?

maana kwenye kampeni za uchaguzi wa ndani ya chadema , hili ndilo lilionekana kipaumbele,
Je, halina haja tena au sasa?:NoGodNo:
Mambo ya viti maalum simshachukua hoja reforms zinaendelea ndani na nje
 
🤣 🤣 🤣
Ila kuna watu ni one way yaani one way akiangalia kule basi ni hukohuko hata Kama alipo Kuna siafu wanamshambulia
 
🤣 🤣 🤣
Ila kuna watu ni one way yaani one way akiangalia kule basi ni hukohuko hata Kama alipo Kuna siafu wanamshambulia
ni kweli kabisaa no reform no elections haina faida hata moja kwa Chadema 🐒
 
Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.

no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi waandamizi wa chadema yenyewe.

mchongo pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone kitaifa umekgomewa na wanaChadema, mpaka wameamuua kuzifuata hizo pesa za tone tone mikoni kwa wanaChadema w chini kabisaa.

Kuponya majeraha ya baada ya uchaguzi na kuwaleta pamoja wanachama wa chadema walioshindwa na kushinda nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho imeonekana hali

Eti kumrejesha chadema, babu kizee wa siasa za Tanzania, bingwa wa usaliti kwa tamaa, zee la kupora wake za watu ndio imeonekana fanikio kuuuubwa chini ya uongozi mpya wa Chadema taifa, really?.

au ndugu mdau,
una irate vipi chadema hii chini ya uongozi mpya wa kitaifa, ni kukosa maono au kuna hujuma zitaendelea?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Achana na chadema. Baki na matapeli Yako yaliyokodisha KIA,bandari na TAZARA. Huwezi ukawa na akili timamu ukachagua jimama. Lazima uwe chizi kama wewe. Shetani. Mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Jiandae. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Back
Top Bottom