Huenda Uongozi mpya wa CHADEMA unahujumiwa

Huenda Uongozi mpya wa CHADEMA unahujumiwa

I
kama mtaalamu wa siasa,
huleta uzi kama matokeo ya utafiti ambavyo vinaonyesha kuna viashiria vya wazi vya hujuma, ndio maana mabo hayaendi kabsaaa..

sasa gentleman ikiwa unaona tofauti,
ni kwanini wewe na makanda wengine mmegoma kuchangia tone tone?

lakini pia, kama hakuna hujuma,
unadhani ni kwanini viongozi waandamozi wa chadema maeneo mbalimbali nchini, wanatangaza nia ya kugombea urais, udiwani na ubunge kupitia chadema hali ya kua mwenyekiti wa taifa kasema hakuna uchaguzi? :pedroP:
Nikiona thread zako tu hata kabla sijasoma najua, kama sio kulamba viatu kwa sifa za kijinga basi ni matusi na kejeli kwa upinzani ama kujisifu unaijua siasa, wkt kichwani unaonekana mtupu.
 
Back
Top Bottom