Hatuwezi kukaa kimya wakati unaeneza sumu ya ccm humu! Lazima tutakukabili kwa uzalendo wetu!! Wewe unalipwa na ccm kueneza propaganda Sisi tunatetea maslahi ya nchi yetu!Gentleman,
hakuna haja wala sababu hata moja kwa mdau yeyote wa JF katika siasa kufurahi au kuumia kwenye mijadala muhimu ya masuala haya ya kitaalamu humu jukwaani.
hata hivyo,
ikiwa huna hoja au hujaelewa mada mahususi mezani, ni busara kukaa kimya tu![]()
sasa gentleman,Hatuwezi kukaa kimya wakati unaeneza sumu ya ccm humu! Lazima tutakukabili kwa uzalendo wetu!! Wewe unalipwa na ccm kueneza propaganda Sisi tunatetea maslahi ya nchi yetu!
Gentleman,Achana na chadema. Baki na matapeli Yako yaliyokodisha KIA,bandari na TAZARA. Huwezi ukawa na akili timamu ukachagua jimama. Lazima uwe chizi kama wewe. Shetani. Mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Jiandae. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Iingekuwa Kweli unafanya kazi za kilimo, ufugaji na hizo kazi nyingine unasema unafanya usingekuwa chawa wa ccm! Ungekuwa na mawazo huru na sio kuimba mapambio ya chama cha mafisadi. Wewe kama sio Lucas Mwashambwa basi atakuwa ndugu yako kwani inaelekea mna share DNA moja.!ššsasa gentleman,
mayowe na mihemko bila point si ni useless tu? Yatasaidia nini kubadili ukweli mahususi nilioeleza kwenye hoja mahususi mezani?
kua maskini au tajiri ni uamuzi wako binafsi, kinachonilipa mimi ni bidii katika kazi za kilimo, ufugaji, ukufunzi, na jukumu muhimu zaidi la kutumikia wananchi.
ni nonsense kufikiria kinyume na hayo gentleman š
yaani unatamani nipigwe jua shambani halafu ati kirahisi tu vibaka na matapeli ya kisiasa waje waniambie eti changia tone tone kidigitali, ili wapate pesa za whisky na nyama, surely?Iingekuwa Kweli unafanya kazi za kilimo, ufugaji na hizo kazi nyingine unasema unafanya usingekuwa chawa wa ccm! Ungekuwa na mawazo huru na sio kuimba mapambio ya chama cha mafisadi. Wewe kama sio Lucas Mwashambwa basi atakuwa ndugu yako kwani inaelekea mna share DNA moja.!šš
Mkuu lile sakata lako vip njoo kule jukwaani utupe mrejesho maana inaumiza sana . Ila samahanWeww kinakuuma nini. Si ndio ilitakiwa ufurahi? Maana kama kuhujumu vyama, hiyo ndio njia yenu ccm kwa vyama vyote siku zoote
Hoja ipi iliyopo mezani? Propaganda zenu za kukatisha tamaa wananchi wasichangie chama chao? Ccm ni chama cha wezi na mafisadi wanaonufaika kwa kukwapua fedha zetu za kodi zinazokusanywa na serikali. Chadema wana ushawishi unaowafanya wananchi wachangie buku buku zao kama TANU ilivyochangiwa thumni thumni mpaka Uhuru utapatikana!yaani unatamani nipigwe jua shambani halafu ati kirahisi tu vibaka na matapeli ya kisiasa waje waniambie eti changia tone tone kidigitali, ili wapate pesa za whisky na nyama, surely?
dhana na nadharia potofu dhidi yangu ni useless na completely nonsense gentleman.
Muhimu zaidi ni kuzingatia hoja š
Ahahahahah...inaumiza habar au inaumiza kuchelewa mrejesho?Mkuu lile sakata lako vip njoo kule jukwaani utupe mrejesho maana inaumiza sana . Ila samahan
Ok brow š š nice decisionAhahahahah...inaumiza habar au inaumiza kuchelewa mrejesho?
Next monday i will avail to the court kuchukua hati yangu ya talaka.
Wewe umejuaje na sio mwanachama?ni kweli kabisaa no reform no elections haina faida hata moja kwa Chadema š
Mtaalamu wa siasa? šmie ni mtaalamu wa siasa na mtafiti muandamizi katika siasa za vyama gentleman![]()
Hivi wewe mtu wa ccm ungetaka mabadiliko Gani kwa chadema? Maana Kila siku uko bize kufuatilia habari za chadema huna kazi nyingine?Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.
no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi waandamizi wa chadema yenyewe.
mchongo pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone kitaifa umekgomewa na wanaChadema, mpaka wameamuua kuzifuata hizo pesa za tone tone mikoni kwa wanaChadema w chini kabisaa.
Kuponya majeraha ya baada ya uchaguzi na kuwaleta pamoja wanachama wa chadema walioshindwa na kushinda nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho imeonekana hali
Eti kumrejesha chadema, babu kizee wa siasa za Tanzania, bingwa wa usaliti kwa tamaa, zee la kupora wake za watu ndio imeonekana fanikio kuuuubwa chini ya uongozi mpya wa Chadema taifa, really?.
au ndugu mdau,
una irate vipi chadema hii chini ya uongozi mpya wa kitaifa, ni kukosa maono au kuna hujuma zitaendelea?š
Mungu Ibariki Tanzania
CHADEMA NI MPANGO WA MUNGUHakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.
no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi waandamizi wa chadema yenyewe.
mchongo pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone kitaifa umekgomewa na wanaChadema, mpaka wameamuua kuzifuata hizo pesa za tone tone mikoni kwa wanaChadema w chini kabisaa.
Kuponya majeraha ya baada ya uchaguzi na kuwaleta pamoja wanachama wa chadema walioshindwa na kushinda nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho imeonekana hali
Eti kumrejesha chadema, babu kizee wa siasa za Tanzania, bingwa wa usaliti kwa tamaa, zee la kupora wake za watu ndio imeonekana fanikio kuuuubwa chini ya uongozi mpya wa Chadema taifa, really?.
au ndugu mdau,
una irate vipi chadema hii chini ya uongozi mpya wa kitaifa, ni kukosa maono au kuna hujuma zitaendelea?š
Mungu Ibariki Tanzania
hakuna haja ya kupotosha wadau gentleman,Hivi wewe mtu wa ccm ungetaka mabadiliko Gani kwa chadema? Maana Kila siku uko bize kufuatilia habari za chadema huna kazi nyingine?
Nenda veta babu!chadema mwenye akili hakuna hayo yote ni madebe matupu sasa huyo mzee ndiyo mafanikio waliopata hakuna zaidi ya hapo wenzao wanataka kugombe aubunge wao wanazuia uchaguzi wapina wapi watadundana muda si mrefu
HakuhusuHakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush.