Huenda Uongozi mpya wa CHADEMA unahujumiwa

Leo utaleta nyuzi ngapi kuhusu cdm ili upate wachangiaji wengi? Maana ukileta za CCM , ACT, TLP nk hazipati wachangiaji wengi.
kama huna hoja kaa tu kimya gentleman,
hakuna haja ya kujaribu kuchepusha mjadala hata kidogo
 
umewapa angalizo mujarabu sana gentleman,
mwenye maskio na asikie,

wakishupaza shingo wasije na mayowe tena dhidi ya mzee huyo msaliti anaeteswa na laana ya kanisa na familia yake
 
Mtaalamu ulitaka mambo yaende vipi?Umefanya tathimini kuhusu kujiandikisha muamko ukoje? Hauni no reform No Election impact inaonekana?
ilisemekana katiba ya chadema ni mbovu na mabaya sana, vipi imerekebishwa?

maana kwenye kampeni za uchaguzi wa ndani ya chadema , hili ndilo lilionekana kipaumbele,
Je, halina haja tena au sasa?
 
Ukiona adui anakuwa rafiki yako jua kuna sehemu amekukamata,lakini ukiona adui analalamika ujue kimemwingia mpaka ndani,shikilia hapohapo,Maccm imewaingia
sian hakika ikiwa umeelewa hoja mahususi mezani,

ila nashukuru kwa mchango wako
 
Dua ya kuku haimpati mwewe! Mtangoja sana, Chadema mpya ni moto wa kuotea mbali! Si mnaona wakina Tlaatlaa wanavyohangaika humu na cheap propaganda? Yote kwa sababu ya mchecheto wa Chadema mpya.
asante kwa mchango wako gentleman,
licha ya kwamba nadhani hujaelewa vyema hoja rahisi sana mezani
 
Weww kinakuuma nini. Si ndio ilitakiwa ufurahi? Maana kama kuhujumu vyama, hiyo ndio njia yenu ccm kwa vyama vyote siku zoote
Gentleman,
hakuna haja wala sababu hata moja kwa mdau yeyote wa JF katika siasa kufurahi au kuumia kwenye mijadala muhimu ya masuala haya ya kitaalamu humu jukwaani.

hata hivyo,
ikiwa huna hoja au hujaelewa mada mahususi mezani, ni busara kukaa kimya tu
 


Wako busy kununua Ebola na HIV
 
Acha hivyohivyo usiwasanue wakashtuka.
hata wakistuka,
ukiwatazama na kuwatathimini kwa kina, kuna kitu wananweza kufanya kweli hao jamaa waliopoteza uelekeo?
 
kama kuna mambo yanaelekea kwenye mafanikio chini ya uongozi mpya si uwaeleze wadua wa JF bila mihemko gentleman?

hakuna haja ya kumbwelambwela na kutweza utu wa wadau wa JF,
huna hoja kaa kimya tu, na huo ndio ungwana wa wadau wa siasa wa JF
 
Leo utaleta nyuzi ngapi kuhusu cdm ili upate wachangiaji wengi? Maana ukileta za CCM , ACT, TLP nk hazipati wachangiaji wengi.

Na analipwa kutokana na idadi ya watu waliochangia
 
Na analipwa kutokana na idadi ya watu waliochangia
pwagu na pwaguzi mkikosa hoja kaeni kimya tu wala hakuna haja ya kupotoshana na kuepeana moyo kwa kutokua na mawazao mbadala,

sawa?
msisumbue wadau tena?
 
ilisemekana katiba ya chadema ni mbovu na mabaya sana, vipi imerekebishwa?

maana kwenye kampeni za uchaguzi wa ndani ya chadema , hili ndilo lilionekana kipaumbele,
Je, halina haja tena au sasa?
Mambo ya viti maalum simshachukua hoja reforms zinaendelea ndani na nje
 
🤣 🤣 🤣
Ila kuna watu ni one way yaani one way akiangalia kule basi ni hukohuko hata Kama alipo Kuna siafu wanamshambulia
 
🤣 🤣 🤣
Ila kuna watu ni one way yaani one way akiangalia kule basi ni hukohuko hata Kama alipo Kuna siafu wanamshambulia
ni kweli kabisaa no reform no elections haina faida hata moja kwa Chadema 🐒
 
Achana na chadema. Baki na matapeli Yako yaliyokodisha KIA,bandari na TAZARA. Huwezi ukawa na akili timamu ukachagua jimama. Lazima uwe chizi kama wewe. Shetani. Mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Jiandae. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…