Huenda Uongozi mpya wa CHADEMA unahujumiwa

Hatuwezi kukaa kimya wakati unaeneza sumu ya ccm humu! Lazima tutakukabili kwa uzalendo wetu!! Wewe unalipwa na ccm kueneza propaganda Sisi tunatetea maslahi ya nchi yetu!
 
Hatuwezi kukaa kimya wakati unaeneza sumu ya ccm humu! Lazima tutakukabili kwa uzalendo wetu!! Wewe unalipwa na ccm kueneza propaganda Sisi tunatetea maslahi ya nchi yetu!
sasa gentleman,
mayowe na mihemko bila point si ni useless tu? Yatasaidia nini kubadili ukweli mahususi nilioeleza kwenye hoja mahususi mezani?

kua maskini au tajiri ni uamuzi wako binafsi, kinachonilipa mimi ni bidii katika kazi za kilimo, ufugaji, ukufunzi, na jukumu muhimu zaidi la kutumikia wananchi.

ni nonsense kufikiria kinyume na hayo gentleman 🐒
 
Gentleman,
mimi ni mtaalamu wa masuala ya kisiasa, vyama vyote vya siasa ni wateja wangu ikiwa ni pamoja na chama kinachoongozwa kitapeli na hao vibaka wa kisiasa nchini.

hata hivyo
mihemko, ghadhabu na makasiriko ni nonsense na useless kwenye majadiliano muhimu sana kama haya.

Hakuna haja ya kukengeuka hali ya kua Mungu ni wa wote 🐒
 
Chadema wanatuharibia mno kwa wananchi.Mambo wanayosema ingawa wao wakipewa nchi hawawezi kutekeleza,lakini wananchi wanawaelewa.
CCM tujitafakari tunaenda kuwaambia wananchi kama kinafaa (Relevant).
 
Iingekuwa Kweli unafanya kazi za kilimo, ufugaji na hizo kazi nyingine unasema unafanya usingekuwa chawa wa ccm! Ungekuwa na mawazo huru na sio kuimba mapambio ya chama cha mafisadi. Wewe kama sio Lucas Mwashambwa basi atakuwa ndugu yako kwani inaelekea mna share DNA moja.!😂😂
 
yaani unatamani nipigwe jua shambani halafu ati kirahisi tu vibaka na matapeli ya kisiasa waje waniambie eti changia tone tone kidigitali, ili wapate pesa za whisky na nyama, surely?

dhana na nadharia potofu dhidi yangu ni useless na completely nonsense gentleman.

Muhimu zaidi ni kuzingatia hoja 🐒
 
Hoja ipi iliyopo mezani? Propaganda zenu za kukatisha tamaa wananchi wasichangie chama chao? Ccm ni chama cha wezi na mafisadi wanaonufaika kwa kukwapua fedha zetu za kodi zinazokusanywa na serikali. Chadema wana ushawishi unaowafanya wananchi wachangie buku buku zao kama TANU ilivyochangiwa thumni thumni mpaka Uhuru utapatikana!
Wewe shambani kwako ni hizo ofisi za ccm!
 
Mkuu lile sakata lako vip njoo kule jukwaani utupe mrejesho maana inaumiza sana . Ila samahan
Ahahahahah...inaumiza habar au inaumiza kuchelewa mrejesho?
Next monday i will avail to the court kuchukua hati yangu ya talaka.
 
Hivi wewe mtu wa ccm ungetaka mabadiliko Gani kwa chadema? Maana Kila siku uko bize kufuatilia habari za chadema huna kazi nyingine?
 
CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU
 
Hivi wewe mtu wa ccm ungetaka mabadiliko Gani kwa chadema? Maana Kila siku uko bize kufuatilia habari za chadema huna kazi nyingine?
hakuna haja ya kupotosha wadau gentleman,


jikite kwenye hoja mahususi mezani itapendeza sana 🐒
 
chadema mwenye akili hakuna hayo yote ni madebe matupu sasa huyo mzee ndiyo mafanikio waliopata hakuna zaidi ya hapo wenzao wanataka kugombe aubunge wao wanazuia uchaguzi wapina wapi watadundana muda si mrefu
Nenda veta babu!
 
Hakuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…