kama mtaalamu wa siasa,
huleta uzi kama matokeo ya utafiti ambavyo vinaonyesha kuna viashiria vya wazi vya hujuma, ndio maana mabo hayaendi kabsaaa..
sasa gentleman ikiwa unaona tofauti,
ni kwanini wewe na makanda wengine mmegoma kuchangia tone tone?
lakini pia, kama hakuna hujuma,
unadhani ni kwanini viongozi waandamozi wa chadema maeneo mbalimbali nchini, wanatangaza nia ya kugombea urais, udiwani na ubunge kupitia chadema hali ya kua mwenyekiti wa taifa kasema hakuna uchaguzi?