Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 829
Mimi nikifuliza supu ya utumbo huwa naanza kutamani matako ya wadada, nimeamua kuacha siku hizi.Nilidhani supu ya nyama Mkuu...
Kwa kweli supu ya utumbo (offals) niko na allergy nayo nikinywa hiyo tumbo huwa linavurugika sana....
Huku supu ya mbuzi safi kabisa elfu 6 za kitanzania Mkuu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Dagaa ni sawa na samaki? Duh!
Usiku kula wali maharage & mboga mbogaSasa mkuu,sawa huo ugali dagaa ntakula mchana.huwa always sirudii chakula kabisa for a day
Sent using Jamii Forums mobile app
Dagaa ni samaki andunje mkuu.
Mkuu bongo ni njaa tu ndo mana tunakula dagaa.. Bora wa kg na kule Nyasa..
Alikosea sana babu yako.Kuna msemo alikua anautumiaga sana babu yngu mungu amiweke pahala pema pepon. Alikua anasema "kula hakumfilisi mtu"
Njoo nikuoe baby kwa bajeti hiyo
Yaani mkuu kila nikiona username yako huwa najikuta nachaka tu. Huwa najiuliza huyu mtu alikuwa anawaza nini wakati anaandika hii username?hahaha
Mkuu kama mimi yani alafu hakuna gepu kwamba jina la baba au mtoto.Yaani mkuu kila nikiona username yako huwa najikuta nachaka tu. Huwa najiuliza huyu mtu alikuwa anawaza nini wakati anaandika hii username?
Da !! Kweli aisee hii ilnikuta juz Kat had kichwa kiliniuma Kama tu ntakuwa nakula kwa kupka mwenyewe gharama zimekuwa kichele hadi raha agree with your suggestions🔚Wakuu,
Kusema kweli nawashangaa watu wengi sana.
Mtu unaishi peke yako, alafu unatumia Tsh 10,000 nzima kwa ajili ya msosi tu. Tena kwa ajili yako wewe mwenyewe.
Hiyo ni anasa na ufujaji wa pesa!!
Maximum kwa siku tumia 5000/- kwa siku kwa ajili ya msosi.
Buku chai, buku jero lunch, buku jero dinner, buku maji na matunda...
Tuachane na anasa, pika mwenyewe nyumbani. Na gharama haitozidi elfu 5 kwa siku kwa ajili ya kula tu.
Niite,
Mjina Mrefu
Dadadeq
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu, lazima kuna kisa kipo nyuma ya hiyo username.Mkuu kama mimi yani alafu hakuna gepu kwamba jina la baba au mtoto.
Daaaahhuyujamaaanomaa
Ila ninachohisi itakuwa hili jina lake limetokana na kisa fulanii
Sent using Jamii Forums mobile app