Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5.

Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha.

Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi kujiingiza kwenye mambo ya hovyo kama wizi hivyo kuishia jela ama kuuawa. Wengine hutafuta hela kupitia ushoga na Kisha kupoteza thamani ya uanaume

Ndiyo maana idadi ya wanawake mitaani ni kubwa kuliko ya wanaume kila mahala duniani.

Sasa huyu tajiri Elon Musk kaja kuongeza idadi ya wanawake kwa kuunda mwanamke roboti. Hapa ndiyo kaua kabisa soko la mwanamke.

Itafika mahala mwanamke atakosoa hata mwanaume wa kumsalimia

Mwanamke roboti huyu hapa;
View attachment 2638041
Huyu sexless ni ke au me? Mbona halieleweki ni kama dubwasha tu fulani
 
Screenshot_20230511-154729.png
 
Back
Top Bottom