Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

Tusikilize wadhamini wetu kwanza...
t1.jpg
 
Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5.

Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha.

Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi kujiingiza kwenye mambo ya hovyo kama wizi hivyo kuishia jela ama kuuawa. Wengine hutafuta hela kupitia ushoga na Kisha kupoteza thamani ya uanaume

Ndiyo maana idadi ya wanawake mitaani ni kubwa kuliko ya wanaume kila mahala duniani.

Sasa huyu tajiri Elon Musk kaja kuongeza idadi ya wanawake kwa kuunda mwanamke roboti. Hapa ndiyo kaua kabisa soko la mwanamke.

Itafika mahala mwanamke atakosoa hata mwanaume wa kumsalimia

Mwanamke roboti huyu hapa;
View attachment 2638041
 
Hii itasababisha imbalance izidi kuwa kubwa. Itabidi pia atengeneze wanaume robot kubalansisha.
 
Dildos za kike zipo nyingi kuliko za kiume ndiyo maana Elon kaona alete mwanamke robot kwa ajili ya wanaume.
 
Tumuombe Mh Raisi kwa sisi waTz tupunguziwe kutokana na hali mbaya ya uchumi wetu na effect za covid, mafuta na ukraine war iwe mil 2
Nadhani mhe rais ataweka ruzuku kama vile kwenye mbolea ili wanaume wengi waweze kumnunua huyu robot
 
Mimi. Nauliza , hivi watatumia. Nini hao watengenezaji hili ile sehemu ya kuingizia. Mbo,o , yaaani. Sehemu ya ku8ma wataweka material gani ili ziwe na radha maalumu ya kusisimua wakati wa kungonoka?????
 
Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5.

Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha.

Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi kujiingiza kwenye mambo ya hovyo kama wizi hivyo kuishia jela ama kuuawa. Wengine hutafuta hela kupitia ushoga na Kisha kupoteza thamani ya uanaume

Ndiyo maana idadi ya wanawake mitaani ni kubwa kuliko ya wanaume kila mahala duniani.

Sasa huyu tajiri Elon Musk kaja kuongeza idadi ya wanawake kwa kuunda mwanamke roboti. Hapa ndiyo kaua kabisa soko la mwanamke.

Itafika mahala mwanamke atakosoa hata mwanaume wa kumsalimia

Mwanamke roboti huyu hapa;
View attachment 2638041
Kumbe mwamba katengeneza pisi kali wakina dada wa mchongo aaa aa hapa kwaherini
 
Kwa hapa kwetu hakuna shida,most of the men can't afford to buy them,
 
Shilingi za kitanzania milioni 7 tu
Hiyo milioni 7 ni mahali ya kuoa wanawake warembo wasiopungua 7 huko usukumani, na watakuzalia watoto pia, sasa hiyo miroboti kwa hiyo hela nitakupa nn?

Ila kuna wajinga watapigwa hela na Elon 😂😂😂
 
Back
Top Bottom