Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

Wamezidi Sana musk apewe maua yake
Hakika anastahili
IMG_20230508_222906.jpg
 
Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5.

Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha.

Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi kujiingiza kwenye mambo ya hovyo kama wizi hivyo kuishia jela ama kuuawa. Wengine hutafuta hela kupitia ushoga na Kisha kupoteza thamani ya uanaume

Ndiyo maana idadi ya wanawake mitaani ni kubwa kuliko ya wanaume kila mahala duniani.

Sasa huyu tajiri Elon Musk kaja kuongeza idadi ya wanawake kwa kuunda mwanamke roboti. Hapa ndiyo kaua kabisa soko la mwanamke.

Itafika mahala mwanamke atakosoa hata mwanaume wa kumsalimia

Mwanamke roboti huyu hapa;
View attachment 2638041
Mimi ni miongoni mwa watakao miliki hivi vifaa.
Tuwaache dada zetu waendelee na harakati za 'kumkomboa' Mwanamke.
 
Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5.

Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha.

Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi kujiingiza kwenye mambo ya hovyo kama wizi hivyo kuishia jela ama kuuawa. Wengine hutafuta hela kupitia ushoga na Kisha kupoteza thamani ya uanaume

Ndiyo maana idadi ya wanawake mitaani ni kubwa kuliko ya wanaume kila mahala duniani.

Sasa huyu tajiri Elon Musk kaja kuongeza idadi ya wanawake kwa kuunda mwanamke roboti. Hapa ndiyo kaua kabisa soko la mwanamke.

Itafika mahala mwanamke atakosoa hata mwanaume wa kumsalimia

Mwanamke roboti huyu hapa;
View attachment 2638041
Tena hapa unapata option zote tako na matiti pia utakavyo.
Waweke na option ya kutoa specifications unazokata, matiti size flani tako size flani, upaja, size ya tundu la tigo
 
Back
Top Bottom