Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

Bila shaka wew ni mwaka wa pili,
Hujui utaratibu,
Kila mwaka vyumba mnapangiwa upya, na utakaa block yeyote utayopangiwa, unataka ukae yenye maji na nani akae ambayo haina maji?

Piganieni maji yawepo kwa wote, sio kurudishwa kwenye block fulani
 
Mkuu mi nimemaliza kipindi ambapo wewe uko kiunoni mwa baba yako.

Tafadhali usinishushe.
 
Huo mbona ni utamaduni wa UDOM wa siku zote.
Kila uanzapo mwaka wa masomo mtu unaamishwa kutoka bondeni humanities unaenda kuishia CNMS.

UDOSO hawajawai kuwa watetezi wa wanafunzi pale zaidi tu kupiga ten ten zao.
 
UDOSO ni nyoko ila wasomi wa pale UDOM ni nyoko maradufu Kwa sababu hawa pambanii haki zao zaidi ya kunong'ona.
 
Wasomi wa siku hizi hamna kitu kabisa, wanazidiwa na mbwa wa ulaya Kwa IQ pamoja na confidence
 
Bas ungetafuta ufafanuzi kwanza kwa wahusika kabla hujaleta hio mada yako
Ufafanuzi niutafute mara ngapi kijana. Mimi huwa sikurupuki, nikiandika nimeandika, nikisema nimesema hata nikiwaza nimewaza.
##inauma ila itabidi uzoee##
 
Back
Top Bottom