Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

Kama na wewe ni mwanafunzi rudi darasni ujifunze kuandika habari/insha.
 
Natumia fursa hii kuwaomba wamiliki wa timu ya Dodoma Jiji watumie Kunguni kama AKA ya timu yao pia waweke picha ya kunguni katika logo ya timu. Hawajaona wenzao wa Tabora United walivyomfanya yanga baada ya kuanza kujiita Nyuki.

Nasisitiza tena, majina huumba!
 
Nilisia viongozi wa sirikali yao wanasema 'wapo na mama '2025
 
Nasisitiza Someni muondoke hayo majengo mmeyakuta na mtayaacha
 
Ivi muhula mwingine wa masomo umeshafunguliwa enhee?
Kila la kheri na muwe na masomo mema
Kwa third year jitahid ukakaze UDOM,hawachelewi kukufanya mwakani uwe hapo hapo miezi kama hii.........akhasante
 
shule ya kata hiyo
Kumbe shule ya kata inaweza kuzalisha Mawaziri kama waziri wa utumishi Simbachawene, Naibu waziriPatrobas katambi, Mkurugenzi mkuu wa kituo Cha uwekezaji Terry Gileadi na wengine wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…