Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

Anakemea "wimbi lililoingia" badala ya kusema moja kwa moja ushoga!! Kwa nini anaonea haya kukemea moja kwa moja ushoga? Sina uhakika kama anaona haya au anaogopa hata kuutaja ushoga!!
 
Acheni utoto kwahiyo Taliban wakisema waislam duniani wafanye Jihad basi Ina maana hata Hawa waislam wa Tanzania nao tuwaone ni jihadists?

Demokrasia Ina misingi 11, mfano uhuru wa habari, uhuru wa mahakama, Minority rights, uchaguzi huru, haki ya kusikilizwa, uwajibikaji n.k Sasa kivipi hayo yote yanalenga ushoga??

Wanachofanya USA ni minority rights ndio maana sera zao ni kulinda makundi kama watu weusi, mashoga, wanawake, haki za wanyama, mazingira n.k and not necessarily tu ushoga kama tunavyopotoshana humu.

Kingine demokrasia haukuanzia USA ilikuwepo Ugiriki huko miaka na miaka Cha kushangaza mnaigeuza kama ni ya wamarekani.

JF Haina GT siku hizi
Ushoga imekuwa haki ila kubaka ni kosa. Ni kweli mbakaji hana haki kukidhi haja zake?
 
Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni kukubali haki za mashoga! Misaada hii iliyoahidiwa ya mamilioni ya dola za marekani itatekelezeka kwa masharti ya uhuru wa haki za binadamu ikiwemo ya LGBT! Hii ni hatua ya kwanza ambayo lugha ya awali inayotumika hadharani ni DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU!! Wakati wa kutaka kupokea hiyo misaada ndio ufafanuzi wa demokrasia na haki za binadamu kwa mujibu wa marekani hufuata na hapo ndio suala la haki za mashoga/LGBT hujitokeza!! Je tutakua na ubavu wa kukataa misaada hii lukuki?? Yetu macho!! Ila Malawi walishindwa wakajikuta wanahalalisha ushoga rasmi!!

Taarifa ya Marekani iliyotolewa rasmi kuhusu makubaliano ya demokrasia na haki za binadamu hapa Tanzania wakati wa ziara ya makamu wa rais wa Marekani hapa nchini ni hii hapa:

• Kuimarisha Haki za Kidemokrasia na Utawala Bora:
Katika maombi yake ya bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024, utawala wa Biden-Harris umetenga takriban Dola za Kimarekani milioni 16.4 kugharimia programu zinazohusu demokrasia, haki na utawala nchini Tanzania. Hili ni ongezeko kubwa la msaada kwa jitihada za Tanzania katika eneo hili. Zaidi ya hayo, USAID imeichagua Tanzania kama nchi itakayopokea usaidizi kusaidia jitihada zake za kukuza ushiriki wa wanawake na wasichana katika uongozi wa kiraia na kisiasa, hivyo kutoa takriban Dola za Kimarekani Milioni 1 za ziada kugharimia programu hizi kuanzia mwaka huu.

Huko GHANA Makamu wa rais wa Marekani ambako ndiko alikoanzia ziara yake barani afrika hakumung'unya maneno kuhusu mfungamano wa demokrasia na haki za mashoga-LGBT. Huu hapa msimamo wake wakati anaongea na Rais wa GHANA:

In a joint press conference with President Nana Akufo-Addo on Monday, Harris did not directly address the bill, but affirmed that LGBT rights were “an issue that we consider to be a human rights issue, and that will not change.”
Last week, National Security Council spokesman John Kirby told reporters at the White House that LGBT rights were “something that’s a core part of our foreign policy, and it will remain so.”

Tusijidanganye kuwa msimamo huo wa Marekani kuhusu haki za binadamu na ushoga utabadilika hapa Tanzania tofauti na kwingineko!! Wamesema kabisa kuwa hilo halitabadilika na ni sehemu muhimu sera ya nchi za nje ya marekani!!

Watanzania tusije tukajikuta tumeingia mikataba kama enzi za kina MANGUNGU!! Tutaambiwa ukipenda boga penda na ua lake!!! Kwa mujibu wa Marekani huwezi ukatenganisha haki za binadamu na haki za mashoga!! Marekani ikiongea haki za binadamu ujue inaongea haki za mashoga. Tafadhali tusijitoe ufahamu tukajifanya hatujui Marekani anamaanisha nini anaozungumza habari ya demokrasia na haki za binadamu!!
Mashoga siyo binadamu, hata hayawani(wanyama) hawafanyi ushoga.
 
Spika wa bunge la GHANA ameng'aka sana kuhusu Hotuba rasmi ya makamu wa rais wa marekani aliyoitoa kwenye ziara yake nchini Ghana. Harris hakumung'unya maneno kuhusu haki za ushoga!! Lakini spika wa bunge la Ghana amesema watapitisha sheria ya kupinga ushoga. Je watanzania tuna ubavu huo?

Ghana slams ‘undemocratic’ meddling by US​

Remarks by visiting US VP Kamala Harris on LGBT laws should not be tolerated, the country's parliamentary speaker has said
Ghana slams ‘undemocratic’ meddling by US

US Vice President Kamala Harris conducts a roundtable of women entrepreneurs to discuss economic empowerment, inclusion and leadership in Accra, Ghana, March 29, 2023 [emoji2398] AP / Misper Apawu

Ghana intends to pass its family values act regardless of what the US says, Speaker of the Parliament Alban Bagbin has told lawmakers. He was speaking in response to remarks by US Vice President Kamala Harris on her African tour in Ghana this week, that LGBT rights were a human rights issue.

Bagbin dismissed Harris' remarks. “These things should not be tolerated. That is undemocratic! What is democracy? That somebody else would have to dictate to me, as to what is good and what is bad? Unheard of!” Bagbin said

Museveni amefanikiwa kuwapinga marekani wazi wazi kuhusu ushoga na amepitisha sheria kali sana kuhusu ushoga. Nauliza tena je Tanzania tuna ubavu huo?
Good question, 'je tuna ubavu huo?'
IMG-20230316-WA0012.jpg
 
Ushoga imekuwa haki ila kubaka ni kosa. Ni kweli mbakaji hana haki kukidhi haja zake?
Kibaka hakuna consent ila ngono yoyote iwe ya mashoga au heteros kama Kuna consent ni haki Yao tatizo ni kubaka hakuna consent so ni kosa.

Hata kumgeuza mkeo ni kosa kisheria ila maadam ni consent ya Wanandoa wawili ndani ya chumba then haiwezi kuwa crime!!
 
Anakemea "wimbi lililoingia" badala ya kusema moja kwa moja ushoga!! Kwa nini anaonea haya kukemea moja kwa moja ushoga? Sina uhakika kama anaona haya au anaogopa hata kuutaja ushoga!!
Hamna mtu hapo, ni muoga, na hizo video hazijibu maswali muhimu.

Nataka niwekewe video ameitisha press akiwa na yule mama, awaruhusu waandishi wa habari wamuulize maswali, ayajibu huku bosi wake akiwepo pembeni yake, hapo ningemuelewa, sio hiyo video ya kuongea na watoto wa shule..
 
hope kwa east Africa, Tanzania kinaweza kuwa kituo au head quarter yao... Nikiangalia naona tunazihitaji sana hela za beberu na ushirikiano nae kuliko jirani zetu.

Jirani zetu naona kama wana machale machale na ka ujasiri juu ya hili.

Hakuna Urafiki wa Beberu USA na Mwafrica, hili sahau "eti wanatusaidi masikini kama unavyotoa misaada mtaani kwa maskini" USA is about interest, kama sio leo basi kesho na kama sio wewe basi unatumika kwa niaba... Beberu hana undugu na mtu mweusi ( muwe na tahadhari juu ya hilo)
Nchi ya Kwanza East Africa Kutambua haki za LGBT itakuwa Uganda.
 
Mahakama kuu yao iliruhusu, lakini Raila na Ruto wote kwa pamoja walipinga maamuzi yale ya mahakama wazi.

Kama ikitokea Kamala akikutana na Ruto popote, anajua msimamo wake kuhusu hilo suala.
Unamuongelea Ruto aliyekuwa Ujerumani juzi au kuna mwingine Mkuu?
 
Kibaka hakuna consent ila ngono yoyote iwe ya mashoga au heteros kama Kuna consent ni haki Yao tatizo ni kubaka hakuna consent so ni kosa.

Hata kumgeuza mkeo ni kosa kisheria ila maadam ni consent ya Wanandoa wawili ndani ya chumba then haiwezi kuwa crime!!
Ushoga huanza huko utotoni unataka kunambia kulikua na consent [emoji2369]
 
Hamna mtu hapo, ni muoga, na hizo video hazijibu maswali muhimu.

Nataka niwekewe video ameitisha press akiwa na yule mama, awaruhusu waandishi wa habari wamuulize maswali, ayajibu huku bosi wake akiwepo pembeni yake, hapo ningemuelewa, sio hiyo video ya kuongea na watoto wa shule..
Video umewekewa Bado hutaki? Unataka press conference? Yaani asiongelee tatizo la ajira aitishe kugongelea ushoga? You can't be serious mkuu
 
Marekani ishitakiwe kwa kupigia debe udhalilishaji wa utu! Ushoga ni kudhalilisha utu!!
We fikiria mtu kavaa suruali na ndevu zake lakini kavaa nepi maana marinda kwishney!! Hakuna tena breki!! Vitu vinajitokea tu!! Ndio maana matukio ya kujiua kwenye jamii ya mashoga ni mengi sana na jitihada kubwa sana hufanyika kutokuyaweka wazi!! Mtu akishakuwa shoga huishia kujuta sana mwisho wake ni kujiua tu!!
 
Sheria kali dhidi ya mashoga inatungwa Uganda, hata wamiliki wa nyumba watakaokodisha kwa mashoga watakamatwa​

6 Machi, 2023

Rais wa Uganda Yoweri Museveni akisaini mswada dhidi ya mashoga na kuwa sheria mwaka 2014, katika ikulu ya rais ya Entebbe, February 24, 2014.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni akisaini mswada dhidi ya mashoga na kuwa sheria mwaka 2014, katika ikulu ya rais ya Entebbe, February 24, 2014.
Shirikisha

Ona maoni
Print
Mswada unatayarishwa nchini Uganda kwa lengo la kuharamisha kabisa mapenzi ya jinsia moja, ukiwa na adhabu ya hadi miaka 10 gerezani na faini ya hadi shilingi milioni 10 za Uganda.
Mswada unawalenga watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, wamiliki wa nyumba na hoteli, wamiliki wa vyumba vya burudani, mashirika yanaoyoeneza ushoga, waandishi wa habari, watengenezaji filamu miongoni mwa wengine.
Kwa mara nyingine tena, Uganda inajaribu kutunga sheria kali dhidi ya ushoga, mara hii mswada unalenga kila mtu anayechangia kwa namna yoyote kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini humo.
Asuman Basalirwa, mbunge wa manispaa ya Bugiri, mashariki mwa Uganda, ambaye ameandaa mswada huo, ameambia Sauti ya Amerika kwamba mswada wake unalenga kuweka mazingira magumu kabisa kwa ushoga kufanyika Uganda, kwa kuwalenga wafadhini wa ushoga, wanaoeneza, wamiliki wa hoteli, vyumba vya burudani na wenye nyumba za kawaida za kukodisha.
Adhabu kwa watakaovunja sheria
Wanaoneza ushoga kwa kuchapisha vitabu, na wafadhili, watatozwa faini ya shilingi milioni 100 za Uganda. wanaomiliki vyumba vya kufanyia ushoga watahukumiwa miaka 7 gerezani huku wamiliki wa nyumba watakaokodisha kwa watu walio katika uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja watahukumiwa mwaka mmoja gerezani.
Mtu yeyote atakayejaribu kushawishi mwingine kufanya mapenzi ya jinsia moja atafungwa miaka 5 gerezani na atakayepatikana na makosa ya kusimamia au kubariki ndoa hizo atafungwa miaka 10 gerezani.
Waandishi wa habari, wahariri, watengenezaji filamu watakaofichua waathiriwa wa ushoga bila idhini yao watatozwa faini ya shilingi milioni 5.
Sheria ya mwaka 2014 dhidi ya mashoga ilifutwa na mahakama
Mswada wa Asuman hata hivyo una adhabu ndogo ikilinganiswa na mswada uliopitishwa na bunge mwaka 2014, kusainiwa na rais Yoweri Museveni kuwa sheria na baadaye kufutwa na mahakama kwa msingi kwamba wakati ulipokuwa unapitishwa, hakukuwa na idadi ya wabunge wanaohitajika kupitisha mswada bungeni. Sheria hiyo ilikuwa na adhabu ya Maisha gerezani.
Asuman, anasema kwamba ushoga unaenezwa na watu wanaochapisha vitabu na kufadhili vitendo hiyvo, mambo ambayo hakuna sheria katika sheria za sasa za Uganda kushughulikia hilo.
Viongozi wa dini nchini Uganda, saw ana rais Yoweri Museveni wamesema kwamba hawatakubali vitendo vya ushoga nchini humo. Msimamo kama huo vile vile umechukuliwa na serikali za Kenya na Tanzania.

  • 16x9 Image
 
Ushoga imekuwa haki ila kubaka ni kosa. Ni kweli mbakaji hana haki kukidhi haja zake?
Hapana, haki ya ushoga na kubaka ni mambo tofauti kabisa na haiwezi kulinganishwa. Ushoga ni suala la utambulisho wa kijinsia na haki za kibinadamu ambayo inalenga kuhakikisha kwamba kila mtu anastahili heshima na usawa, bila kujali mwelekeo wao wa kijinsia.

Kwa upande mwingine, ubakaji ni kosa kubwa la jinai ambalo linalenga kumdhulumu mwingine kimapenzi kwa nguvu au kwa kutumia udhaifu wake. Hakuna mtu ambaye ana haki ya kubaka wengine na kufanya vitendo hivyo ni ukiukwaji wa haki za binadamu na uhalifu wa kinyama.

Kwa hivyo, ni muhimu kutambua kwamba ushoga na kubaka ni mambo tofauti kabisa, na kwamba hakuna haki inayoweza kutumiwa kama kisingizio cha kufanya kitendo cha kubaka.

----------------------

Source: ChatGPT
 
Utambulisho wa kijinsia ipi?Unasema kubaka ni kumdhuru mtendwaji vip kuhusu ulawiti wanaofanyiwa watoto unaopelekea mtu kuwa shoga Je hili halionekan ni kuharibu haiba ya mtu ,halionekan kama ni kumdhulu ila ni haki.

Kipi bora mtu kubakwa kisha kubaki na haiba ya kike au mtu kulawitiwa kisha kupelekea kuwa shoga kitu ambacho kubadirisha haiba yake na kutekeleza jukumu lisilo lake.

Vipi kuhusu madhara yatokanayo na ushoga na yenyew ni haki ya binadam. Kutetea jambo linalohatarisha uhai/afya ni haki vip kuhusu haki ya wauaji.Kuna tofaut ipi ya muuaji anaeua watu kwa siraha na muuaji anaeua watu kwa kutetea jambo linalohharibu afya ya mtetewaji.

WATANZANIA TUFUNGUE AKILI SHOGA HAZAI, TUNAHITAJI MUENDELEZO WA VIZAZI. MABABU WANGEKUA MASHOGA LEO TUNGEPATA FAIDA YA WATU 60+M.

BADO HATUJUI UMUHIMU WA WATU KWENY UCHUMI.JAMBO JEMA NI KWAMBA MUNGU YUPO HAKUNA USHOGA UTAKAOSTAWI KWENY HII DUNIA.[emoji41]
 
Unafikiri mimi ninatetea[emoji23][emoji23]
Hayo ni majibu ya ChatGPT[emoji3060][emoji3060], niliona kuna mambo hujayaelewa hivyo unapaswa kuyajua, ndio nikaamua kucopy na kupaste kutoka huko

Ulawiti kwa watoto ina maana watoto wenyewe hawajaridhia, ni kama kubaka tu ila kulawiti ni mbaya zaidi. Hayo yote ni makosa makubwa
 
sawa wacha wao wasitenganishe - tunaongelea sisi tufanyaje ? katiba yetu inatamkaje?
 
Unafikiri mimi ninatetea[emoji23][emoji23]
Hayo ni majibu ya ChatGPT[emoji3060][emoji3060], niliona kuna mambo hujayaelewa hivyo unapaswa kuyajua, ndio nikaamua kucopy na kupaste kutoka huko

Ulawiti kwa watoto ina maana watoto wenyewe hawajaridhia, ni kama kubaka tu ila kulawiti ni mbaya zaidi. Hayo yote ni makosa makubwa
Hamna kaka nlijua ni according to ChatGPT [emoji23]
 
Back
Top Bottom